Anayejua kisa cha Lissa na Rapcha anipe short story, yaani mpaka sasa sijui nini kinaendelea pamoja na kuwa member wa UWABATA

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,645
35,976
Habari wakulungwa?

Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe.
Please help me to understand what's going on?

Asanteni .

--------

Jibu:

Ni mwanfunzi wa UDSM sasa boom lilipotoka, demu wake anaitwa lisa akamuomba hela laki tano alipe ada, asije kukosa kufanya mtihani, kumbe demu kapewa ile hela naye kahonga kwa bwanake mwingine, Rapcha si ndio kumpigia simu Lisa hapokei, kampandia gari kwenda kwake, kuingia ndani kakuta njemba kakamatia demu ake , halafu Rapcha alivofala kaanza kuhesabu uno jamaa analokata, jamaa kapiga TAKO NANE si ndo akamwaga ndani, wewe kuja kugeuka wanakutana face 2 face na Rapcha aisee kilichofuata ilibidi ipigwe yowe ya mwizi achomwe moto rapcha, bila kutokea Zola D aka moto wa tipa tungeshazika Rapcha.
 
Ni mwanfunz wa UDSM sasa boom lilipotoka,dem wake anaitwa lisa akamuomba hela laki tano alipe ada, asije kukosa kufanya mthan, kumbe dem kapew ile hela nae kahonga kwa bwanake mwingine, Rapcha si ndo kumpigia sim lisa hapokei, kampandia gar kwenda kwake, kuingia ndan kakuta njemba kakamatia dem ake , afu rapcha alivofala kaanza kuhesabu uno jamaa analokata, jamaa kapiga TAKO NANE si ndo akamwaga ndan, we kuja kugeuka wanakutana face 2 face na rapcha aisee kilichofuata ilibid ipigwe yowe ya mwizi achomwe moto rapcha, bila kutokea Zola D aka moto wa tipa tungeshazika rapcha.
View attachment 1817508
Rapcha masikini alichungulia kaburi.
Utelezi noma
 
Ni mwanfunzi wa UDSM sasa boom lilipotoka, demu wake anaitwa lisa akamuomba hela laki tano alipe ada, asije kukosa kufanya mtihani, kumbe demu kapewa ile hela naye kahonga kwa bwanake mwingine, Rapcha si ndio kumpigia simu Lisa hapokei, kampandia gari kwenda kwake, kuingia ndani kakuta njemba kakamatia demu ake , halafu Rapcha alivofala kaanza kuhesabu uno jamaa analokata, jamaa kapiga TAKO NANE si ndo akamwaga ndani, wewe kuja kugeuka wanakutana face 2 face na Rapcha aisee kilichofuata ilibidi ipigwe yowe ya mwizi achomwe moto rapcha, bila kutokea Zola D aka moto wa tipa tungeshazika Rapcha.
Duuuuh kumbe ndo ilivyo? Mweeeeeh.
 
Wanafunzi waliuawa sana kwa kuitwa wezi walipowafumania mademu zao.

Zola D naye anasoma UDSM?
 
Back
Top Bottom