Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kiraza, Aug 6, 2016.

 1. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 245
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Habari wanajamvi, mimi ni Mtanzania niliekosa kupata Elimu, nimeishia darasa la sita, kutokana na Ugumu wa maisha na kufiwa na mlezi, mwaka 2004. Kwa sasa nina umri wa miaka 25, ila nasumbuka mno na kazi nzuri itakayoweza kunipa walao hata 10000 au 15000 per day ili niweze kuibalance pesa hiyo niweze kufanya maisha, kwa alie na ujuzi juu ya hilo naomba aniPM, kazi yoyote nitafanya iri mradi iwe halali katika sheria za nchi. Asili yangu ni Mkoa wa Iringa, hapa dar naishi peke yangu.
  Natanguliza shukrani.
  Mbarikiwe.
   
 2. L

  LadyRed JF-Expert Member

  #41
  Feb 17, 2017
  Joined: Mar 19, 2016
  Messages: 4,139
  Likes Received: 3,503
  Trophy Points: 280
  Mwanzo mgumu dada,wenye degree wamesoma ila wanaanza kazi za kujitolea
  Unapoanza kazi utaanza tafta nafasi za kazi zingine
  Huwezi jua utapata wapi, nyumba zingine ni watu wazuri sana watakuendeleza ama utaacha utafte kazi ingine
  Usafi maofisini inalipa kidogo ila huwa wadada na wakaka wale wanafanyaga kazi za kuwasaidia staff maofisini na kupewa tip kila siku ama kwa mwezi
  Kuna sehemu nilikua kikazi dada wa usafi tulikua tunachanga kwa mwezi inafika hata lak2 hadi 3 tunampa,
  Kazi yake akishamaliza usafi bas anapita kw kila mtu kuchukua order za vitafunwa na maji,lunch tunamtuma,wa kumtuma deposit Benki haya nk nk..uwe tu na bidii na kazi, usiwe na kisirani jishushe ujifunze kazi utapendwa sana
  Wote tunaanzia chini
   
 3. perfect hunter

  perfect hunter Senior Member

  #42
  Feb 17, 2017
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 156
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mkuu mjini daladala kibao, tafuta day worker ( deiwaka) anzia hapo baadae ukipata ya moja kwa moja jishikize upige kazi
   
 4. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #43
  Feb 18, 2017
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 245
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Asante kwa ushauri
   
 5. Planett

  Planett JF-Expert Member

  #44
  Feb 19, 2017
  Joined: Mar 20, 2014
  Messages: 4,673
  Likes Received: 4,317
  Trophy Points: 280
  Miss Natafuta ni kweli hii au!?
   
 6. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #45
  Feb 19, 2017
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 4,539
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Darasa la sita na umeandika andiko linaloeleweka...ukiondoa hapo tu ulipoandika 'iri mradi'

  Kuna Mtu akiandika sentensi tatu ukaelewa nusu tu ya alichoandika unamshukuru MUNGU.....na huyo atakwambia yupo/ni muhitimu wa chuo kikuu.
   
 7. mteulethebest

  mteulethebest JF-Expert Member

  #46
  Feb 19, 2017
  Joined: Feb 6, 2017
  Messages: 238
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Kweli ajira kwetu vijana tusiokuwa Na elimu imekuwa changamoto kwetu
   
 8. kibulambwana

  kibulambwana Senior Member

  #47
  Feb 19, 2017
  Joined: Feb 18, 2017
  Messages: 144
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ndugu we'sio Wa ngosha!?.
   
 9. mteulethebest

  mteulethebest JF-Expert Member

  #48
  Feb 19, 2017
  Joined: Feb 6, 2017
  Messages: 238
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Co mbona umeniuliza hivyo
   
 10. kamanda mbigi

  kamanda mbigi JF-Expert Member

  #49
  Feb 19, 2017
  Joined: Feb 8, 2017
  Messages: 1,254
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  ID yako nadhani inazidi kukuletea hali ngumu ya maisha mkuu......vile unavyojiombea ndio utakavyopokea.
   
 11. kibulambwana

  kibulambwana Senior Member

  #50
  Feb 23, 2017
  Joined: Feb 18, 2017
  Messages: 144
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wa ngosha si' walala hoi anavyosemaga mwewe.
   
 12. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #51
  Feb 28, 2017
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 245
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
   
 13. sab

  sab JF-Expert Member

  #52
  Feb 28, 2017
  Joined: Jan 25, 2013
  Messages: 4,052
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Konda wa daladala utapata zaidi ya hapo
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...