Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua kazi itakayoweza kunipa 15000 kwa siku

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kiraza, Aug 6, 2016.

 1. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 244
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Habari wanajamvi, mimi ni Mtanzania niliekosa kupata Elimu, nimeishia darasa la sita, kutokana na Ugumu wa maisha na kufiwa na mlezi, mwaka 2004. Kwa sasa nina umri wa miaka 25, ila nasumbuka mno na kazi nzuri itakayoweza kunipa walao hata 10000 au 15000 per day ili niweze kuibalance pesa hiyo niweze kufanya maisha, kwa alie na ujuzi juu ya hilo naomba aniPM, kazi yoyote nitafanya iri mradi iwe halali katika sheria za nchi. Asili yangu ni Mkoa wa Iringa, hapa dar naishi peke yangu.
  Natanguliza shukrani.
  Mbarikiwe.
   
 2. brigedia mafia

  brigedia mafia JF-Expert Member

  #21
  Aug 8, 2016
  Joined: Jul 21, 2016
  Messages: 2,244
  Likes Received: 2,193
  Trophy Points: 280
  Uza bangi
   
 3. k

  kerai Senior Member

  #22
  Aug 8, 2016
  Joined: Oct 28, 2013
  Messages: 176
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Niko serious tukiwa Na vijana watano Na kila kijana auze barafu shuleni zipatazo 200 kwa bei ya sh.100 kwa siku nibei gani? We nicheki tufanye kazi acha ubishooo
   
 4. m

  mwaziri Member

  #23
  Aug 9, 2016
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Osha magari mkuu utapata hiyo pesa kirahisi
   
 5. boaz mwalwayo

  boaz mwalwayo JF-Expert Member

  #24
  Aug 9, 2016
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 4,616
  Likes Received: 3,093
  Trophy Points: 280
  Itabidi nikutafte
   
 6. ora

  ora JF-Expert Member

  #25
  Aug 16, 2016
  Joined: May 21, 2016
  Messages: 1,207
  Likes Received: 1,097
  Trophy Points: 280
  nmeipenda hii kazi
  unaweza kunitafutia
   
 7. Vitaimana

  Vitaimana JF-Expert Member

  #26
  Aug 16, 2016
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 3,559
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Fala wewe ndio akili yako ilipoishia kufikiria?
   
 8. Vitaimana

  Vitaimana JF-Expert Member

  #27
  Aug 16, 2016
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 3,559
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Namshangaa huyu kenge anatupa sifa zisizo zetu!
   
 9. Vitaimana

  Vitaimana JF-Expert Member

  #28
  Aug 16, 2016
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 3,559
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  1471337807332.jpg
   
 10. optico

  optico JF-Expert Member

  #29
  Aug 16, 2016
  Joined: Jul 4, 2016
  Messages: 258
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  betting
   
 11. jaxonjaxon

  jaxonjaxon Senior Member

  #30
  Aug 16, 2016
  Joined: Nov 21, 2014
  Messages: 196
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Kila kitu mnachukuliaga utani tu.... kasema kazi iwe halali kwa mujibu wa sheria ya Tz...
  Shame on you
   
 12. Tony antony

  Tony antony JF-Expert Member

  #31
  Aug 16, 2016
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 4,792
  Likes Received: 2,500
  Trophy Points: 280
  mtu huna kazi hujapata elimu unajipangia kiasi cha kupata kwa siku tena huna hata sehemu ya kuanzia...........nenda kajiuze utapata zaidi ya hiyo wauza nyanya wenyewe hawapati hiyo kwa siku wewe huna chochote unataka kuanzia kwenye maisha mazuri kiasi hicho???
   
 13. xbs

  xbs JF-Expert Member

  #32
  Aug 16, 2016
  Joined: Apr 15, 2013
  Messages: 230
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Mkuu ungeenda dodom kule watu wameamka na dili za site kwa mchina unapiga 15000 par day bado over time bado hujajiongeza na wew unapiga noti tuu.
   
 14. U

  UKAWA2 JF-Expert Member

  #33
  Aug 16, 2016
  Joined: Apr 22, 2014
  Messages: 2,093
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  Ila amesema kama una nia umtafute PM sasa sijui kama hili wazo lako atalifanyia kazi maana umeliweka hapa sebuleni.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #34
  Aug 18, 2016
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 35,459
  Likes Received: 6,599
  Trophy Points: 280
  Mchongoo wavyeti feki itasaza mwenyewe

  Kaziunawatafutia Wateja
   
 16. kedrick

  kedrick JF-Expert Member

  #35
  Aug 18, 2016
  Joined: Apr 25, 2015
  Messages: 3,985
  Likes Received: 2,597
  Trophy Points: 280
  Mbona hii kazi sio ya kutafutiwa ni ww kwenda kilingeni au sehemu zenye parking za magari.
  Gari moja elfu 5 bei ya chini kuosha.
   
 17. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #36
  Feb 16, 2017
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 244
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Asante kwa ushauri
   
 18. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #37
  Feb 17, 2017
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na pia abadili jina la jamii forum maana hamna atakaekuajiri ikiwa cfayako ni ya jina hilo.
   
 19. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #38
  Feb 17, 2017
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Masharti na vigezo ndo ku fail kwa watanzania
   
 20. L

  LadyRed JF-Expert Member

  #39
  Feb 17, 2017
  Joined: Mar 19, 2016
  Messages: 3,981
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Waweza tafta hizi kazi za usafi maofisini ama majumbani,fanya bidii ukiwa huko
   
 21. kiraza

  kiraza JF-Expert Member

  #40
  Feb 17, 2017
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 244
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Asante ila kwa unavyoona kwa kazi za usafi majumbani naweza kupata hicho kiasi dada angu
   
Loading...