Anayejua jinsi ya kujikinga na dawa za usingizi wanazotumia wezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejua jinsi ya kujikinga na dawa za usingizi wanazotumia wezi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Exaud Minja, Jul 9, 2009.

 1. E

  Exaud Minja Member

  #1
  Jul 9, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kuna wizi umezuka mtaani kwetu wa kutumia dawa za usingizi, mnapuliziwa mnalala mpaka wezi wanaweza hata kuwalaza chini wakaiba mpaka vitanda baada ya kuwalewesha mbwa na walinzi getini.

  Kuna yeyote anayejua dawa ya kuzuia hizo dawa zisifanye kazi, wakati wakipuliza kwenye madirisha?

  Kuna baadhi ya watu wanasema ukiweka maji kwenye ndoo au basin likiwa wazi karibu na dirisha hizo dawa huwa zinaishia kwenye hayo maji yaani zinavutwa, sijajua ukweli wa hilo.
   
 2. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #2
  Jul 9, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duh poleni sana hapo mtaani kwenu, mi naona ulinzi shirikishi ndio utawafaa zaidi i mean mngekuwa na sungu sungu mngewanasa hao wezi,kitabibu kuzuia hicho kitu ni ngumu kiasi kwani inasambaa na hewa ambayo unaivuta wakati wa kupumua sasa labda ulale ukiwa umevaa musky kama a FFU.
   
 3. N

  Ndaga Senior Member

  #3
  Jul 9, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 164
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Exaud,
  Dawa kuu ni Kumtegemea Mungu tu kwa Jina la Yesu ukiomba hakuna mwizi wala jambazi atakatiza iwe karibu au katika fence ya nyumba yako,We Amini na uombe kwa Imani nakwambia itakuwa story,hawa wezi wana new ideas kila siku, dawa ni hiyo tu wanapigwa upofu hata fence hawaioni wataishia kuzunguka zunguka hapo mwishowe unawashitukia unawakamata na kuishia selo! basi! Kwisha habari yao!!
  Ni mimi,
  ''Ndikupasya Buno malafyale Anganie kangi ambokie''
  Ndaga.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kupulizia ni hadithi za siku nyingi sana, hao watu watakua wamewekewa dawa kwenye msosi/kinywaji.
   
 5. afkombo

  afkombo Member

  #5
  Jul 9, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Suluhisho ni kuishinikiza serikali iweke sheria juu ya upatikanaji wa dawa.Maana pharmacy za Bongo hujui dawa ipi ni Over the Couter na ipi siyo,we ukiwa na shida na dawa unaende Pharmacy tu kununua huulizwi na mtu yeyote.Pia tukomeshe ufisadi kwanza mahospitalini ili anesthesia zisiwe zinatoka kiholela na tuwe na sheria maalum ya kudhibiti uuzaji wa dawa katika pharmacy(kama sheria hii ipo basi iwe active),hii huenda itasaidia.Tujitahidi kudhibiti upatikanaji na siyo kujikinga juu ya effects za dawa kwa sababu siyo kila mtu ataweza.Ndiyo maana malaria inauwa watu sana kwa sababu haijadhibitiwa, watu wanategemea"nikipatwa na malaria ntameza dawa" matokeo yake.................
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na Mkuu Homo Habilisi kuwa lazima kuweko na Ulinzi wa Mitaani yaani Sungu sungu kukabiliana na huo wizi wa kutumia Dawa ya kumfanya mtu alale Usingizi Sio Tamko la Ndaga Anasema Kumuomba Mungu kwa njia ya Bwana Yesu hiyo haitoweza kuwafanya hao wezi kutoweza kuiba hao wezi pia wakienda kuiba huwa Wanamuomba Mungu na Hata huyo Bwana Yesu awasaidie katika kazi yao ndio Maana wanafanikiwa. Ufumbuzi wa hao Wezi ufanyike Mkutano wa nyumba kumi na awepo Balozi wa nyumba kumi na katika hilo eneo hilo na kuwepo na vijana Wa Sungu sungu wanao linda kila usiku na kuwepo na huo ulinzi wa kudumu wa Sungusungu Matatizo ya hao Wezi yatatokomea mbali.Kwani baadhi ya hao wezi ni watoto wa Mitaani na wengi wetu tunawajua na tunawaficha sisi wenyewe kwa hiyo ufumbuzi wetu ni kuweka walinzi wa Sungusungu matatizo yote yatakwisha.
   
 7. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu dawa wanayotumia ni chloroform; hivyo once ukiweka maji yaliyo wazi katika beseni, ndoo nk kiasi kwamba ile surface area ya water ikawa kubwa, absorption yake kwa chloroform ni kubwa mno kiasi kwamba haiwezi kuleta madhara ya kunogewa na usingizi.

  Kwa hivyo mkuu ni kweli maji ni njia rahisi zaidi
   
 8. f

  fredy85 New Member

  #8
  Jul 10, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HE PARADOX OF AGRICULTURE REVOLUTION IN TANZANIA
  Read and Digest my friends.!!!!!!!!! says Chris
  What happens in Agricultural sector in Tanzania today proves that the Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere was a genius of his kind. While the new generation of leadership has been scratching their heads for decades on how to contain food insecurity in the country, Nyerere managed so well to bring both agricultural and industrial revolutions in the 1960’s and ‘70’s even with meager resources he had.

  At that time there were very few experts in all sectors including agriculture, health, education, and management, but under Mwalimu Tanzanians produced enough food for consumption and surplus for industries and export. Today there are many more and much learned experts than there were those days, yet we are struggling to address challenges in the agricultural sector - the sector we still call the backbone of the economy of our country.

  So Tanzania of today doesn’t need to invent the wheel. Everything was done by the first phase government. What is needed is to go back, revisit the strategies and revise them to fit the current environment. Since early ‘80s many industries started to collapse and food shortage has been our second national anthem. Until 2009, we still blame lack of rainfall for food insecurity. There is nothing new here.

  Everyone knows that mechanized and irrigation farming is the answer to the ailing problems of food shortages and subsequent importation of expensive food stuffs. But the problem we face today is how to do what we believe is right. Mwalimu named four pillars of development as people, land, good leadership and good politics, but it is still unclear today what is missing to achieve agricultural and industrial development.

  Of course money is always not enough but whether lack of money is the major bottleneck to the sector, it is debatable as we could argue on how the Agriculture Sector Development Programme (ASDP) has helped to mitigate the problem of food shortage even with all the money they get annually. Perhaps what makes the difference is that these days there are more words than actions.

  There are more planning but less implementation of the programmes. Likewise, today there are more ‘clever’ people who know how to benefit from the agricultural money than before. Tanzania may be a big country, but financial resources to cater the sector are not enough and people should not see it as the only problem because it is clear that if they play with the little money available, it is likely matters will grow worse.

  Moreover, while the first President implemented his ideas without listening to what donors said, the new generations abide to most of the International Monetary Fund (IMF) and World Trade Organization’s (WTO) rules. IMF and WTO have put in place many restrictions for developing countries including those for anti-protectionism while rich nations continue to protect their farmers with subsidies making poor nation’s products uncompetitive in the world market.

  Unless Tanzania goes against some rules and regulations of IMF and WTO, it will be tricky to achieve agrarian revolution. Alternatively, we should keep our fingers crossed that the Doha Round talks are concluded sooner than later to create a level playing field for agriculture products in the world market. According to IMF, governments are not allowed to do business. It is the private sector that has the permission to take charge in the agricultural activities.

  However, experience has shown that the system has isolated farmers instead of uniting them as everyone looks for his own profit. There is more individualism today than in past because even the smallest farmers in the villages now compete instead of working together to produce more and face the challenges together. Most businessmen shun investing in agriculture as they perceive it to be a risky undertaking.

  That’s why even with the government’s efforts to attract investors in Agriculture, it has not been easy to gain much ground there. May be it is better that way because experience from other countries shows that although private investors in huge commercial farming brings in food security and good money from exports, ordinary farmers would become more poorer.

  Only five commercial farmers for instance, could feed the whole nation but the ordinary Tanzanians who are 80 per cent employed in agriculture will have no place to sell their produce and as a result will end up working in the investors’ plantations for their daily bread.

  Since the introduction of free market economy in mid '80s the government tried to distant itself from doing business and agriculture activities, but the private sector has failed to improve the agricultural sector, leaving farmers in big trouble. In recent years the government has realized the need to heavily support farmers as it used to do in the first two decades after independence by providing subsidies for farm implements.

  But subsidies alone can not bring agricultural revolution because there is so much need to be done to improve strategies in agriculture to prevent hunger. The difficult part should be how to manage people who manage agriculture programmes. Previously, the government united farmers through cooperative societies in every zone, regions and districts of the country but now farmers are being divided by private buyers.

  Cooperatives have recently become weaker and others already collapsed because they couldn’t stand competition from private buyers who went on to manipulate farmers on prices. Farmers today have lost ownership of the agricultural sector and they no longer control the price of what they produce because there is no proper organization of their activities.

  Agricultural Council of Tanzania (ACT) which is a government agency needs to be given more mandates not only to supervise but also to implement agriculture policies and programmes. It should also have power to regulate agriculture activities and Stakeholders. ACT should regulate the prices and quality of inputs, outputs and make sure stakeholders act in accordance to agriculture best practices for the benefit and wellbeing of the people.

  It should also work to improve the spirit of cooperation among farmers through creation of stronger SACCOS and Cooperatives. It is important for the government to directly be involved in agriculture but the Ministry of Agriculture can not do that better as it is mostly supposed to supervise policies. However, with regard to implementation, ACT is in good position to do it just like other government agencies do.

  In the area of financing of agricultural sector the government needs to urge commercial banks to support the efforts to provide soft loans to farmers so that they can buy affordable implement such as power tillers and fertilizers. Perhaps Tanzania could copy an Indian model whereby all commercial banks are obliged by law to offer to agriculture activities 20 per cent of their annual loans offerings.

  This is important because even if the Agriculture Development Bank (ADB) will be
  established, it will never suffice the needs of financing the sector especially that there will be many loan defaults due to risky nature of the business. ADB should only stand as a guarantor for commercial banks and not the sole provider of loans to farmers because it will be a huge burden to Government to finance this bank every year. At the same time it has to support the Tanzania Investment Bank (TIB). The first step should be to make sure that farmers do away with the use of hand hoe and apply more use of animals and small tractors such as power tillers which are efficient and affordable.
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  copy n paste hii mh! ndio kinachozungumzwa hapa?au me naupofu wa macho.
   
 10. M

  Msindima JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Ndaga
  point yako imenifurahisha sana,it was last weekend usiku saa tisa nikatumiwa msg na wadogo zangu kuwa kuna wezi wanazunguka karibu na nyumba,wakaniambia tuombee,nikawaombea,kesho yake tukaonana nikawauliza vipi wakaniambia waliishia kuzunguka tu hapo walipoona hawawezi kufanya chochote wakataka kuingia kwa jirani walipohisi jirani wameshtuka wakakimba na hawakurudi tena kwa hiyo mimi naamini ukiomba ulinzi katika nyumba yako kwa jina la Yesu yote yanawezekana na wakifika hawaoni nyumba.
   
 11. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #11
  Jul 10, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ofcourse mungu ni muweza wa kila kitu lakini sio kila jambo tumuachie yeye hata lile ambalo sie wanadamu tunaweza kulifanyia kazi.!suala la kumdhibiti mwizi mi naona tunao uwezo sana sie kwetu hali ilikuwa namna hiyo hapo zamani tulichofanya tukaweka sungu sungu wawili mwanzo wa mtaa na wengine 2 mwisho wa mtaa kama mtu anapita usiku mwingi iwe na gari au kwa kutembea anahhojiwa wapi anaelekea kama mpita njia na apite kwa amani lakini kama anayake mengine hapo sio mahali pake na hii tulianzia muda wa saa saba mpka alfajiri kwani wizi mwingi huwa unafanyia midnite kuanzia saa nane mpaka saa kumi na nusu kwa ufahamu wangu,mjaribu mbinu hii sio kila jambo mtegemee mungu,mungu anakazi nyingi amekuumba amekulta duniani umuabudu sio yeye akuchunge wewe fanya jitihada huku ukirajia baraka kutoka kwake.
   
 12. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135

  He..he...he..JF mwaka huu tumevamiwa...huwa sijui katoka wapi ana post 2
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280

  wakunyumba,
  asante sana kwa ushauri wako wa kiroho ambao pia unazitibu nafsi na mwili.
  dawa hizo za usingizi ni za kienyeji, na nakuhakikishia kwa maombi unazishinda na kuzitokomeza kabisa.
  asante kwa advice nzuri.
  Kyala Akusajege
   
 14. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wataalamu leteni majibu.
   
 15. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2013
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mh..........
   
 16. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  "...................Kuna baadhi ya watu wanasema ukiweka maji kwenye ndoo au basin likiwa wazi karibu na dirisha hizo dawa huwa zinaishia kwenye hayo maji yaani zinavutwa, sijajua ukweli wa hilo...................."
   
 17. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Very good mzee wa upako next time waambie waache milango wazi na uwaombee!!!!
   
Loading...