kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Free enternet
umeongea madini mkuu usawa huu wa magu unataka cha bure thubutu uza simu nunua bando maana hakuna namnafree enternet ndio nini? je wamaanisha FREE INTERET?kama ni hivo basi hakuna internet ya bure mkuu nunua bundle tu.kama upo dar es salaam nenda kituo cha daladala mbezi kimara,mawasiliano,na kule mwenge kuna free wireless internet washa wifi yako tu ujiunge
Si unajua kwa pcFree enternet