Anayejua jinsi ya kuconnect free internet Kwa Android naomba msaada

free enternet ndio nini? je wamaanisha FREE INTERNET?kama ni hivo basi hakuna internet ya bure mkuu nunua bundle tu.kama upo dar es salaam nenda kituo cha daladala mbezi kimara,mawasiliano,na kule mwenge kuna free wireless internet washa wifi yako tu ujiunge
 
free enternet ndio nini? je wamaanisha FREE INTERET?kama ni hivo basi hakuna internet ya bure mkuu nunua bundle tu.kama upo dar es salaam nenda kituo cha daladala mbezi kimara,mawasiliano,na kule mwenge kuna free wireless internet washa wifi yako tu ujiunge
umeongea madini mkuu usawa huu wa magu unataka cha bure thubutu uza simu nunua bando maana hakuna namna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom