Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Amani iwe nanyi wanaJf,

||Leo nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||

||Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila alichotamka kwa idadi alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine||

HOJA YANGU HII HAPA,
______________________

1. Je! Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha kuwa Mzee Kikwete hakufanya lolote au aliamini katika "Comparative analysis|advantage" kama njia bora zaidi ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? ili kuisaidia hadhira husika kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli wa kutumia "Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani yaani Rais Samia Suluhu Hassan tunamkosea Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Mafuli ?!

Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Jakaya Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nadhani nawao wanamaana ileile aliyokuwanayo Hayati Dk John John Pombe Magufuli,

Angalia hizi picha,nilikozungushia ni refence ya mwaka 2015 aliyoifanya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli dhidi ya Mzee Jakaya Mrisho Kikwete,

View attachment 2000783

View attachment 2000784

View attachment 2000785

View attachment 2000786
CM 17749858 kwanza nikopongeze kwa jitihada zako za kuitetea Awamu ya Sita. Sisi wana CCM wengine tumeamua kuwa sceptical.
 
Pumba ,huo mzimu utawatesa sana ,

RIP, JPM FOREVER
 
Namba tangu lini inatafsida wee mtu?

So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Facts unazijua wewe bwege ,sana ni propaganda dhidi ya huyo she wako,

On going process za hayati alieondoka gafla ndo unageuza mafanikio ya bibi yako?,wapumbavu wenzako ndio watakuelewa
 
Kwa Bi. Hangaya anakulipa kiasi gani kutetea upuuzi wake
Kesho nenda airport ukamuage
 
Tatizo ni wale wanaofikiri Rais Samia hawezi kufanya vizuri zaidi ya Watangulizi wake hata pale alipofanya vizuri bado hawataki umlinganishe na yeyote ila asimame yeye kama yeye jambo ambalo kwenye "Comparative advantage linakataa,

Watu wanaona kumlinganisha Hayati Rais Magufuli na Rais Samia na Rais Samia akashinda eti huko ni kumsema vibaya Hayati Rais Magufuli najua wanahitaji elimu kama hizi,
Samia ashasema viatu vinampwaya
 
Samia ashasema viatu vinampwaya
Hiyo ni aina tu ya lugha ya waungwana ya kutokujitukuza.

Hata Mwinyi aliwahi kujifananisha na Nyerere tena mbele yake kuwa ni sawa mlima na kichuguu kwenye muktadha wa kuongoza nchi.

Katika akili ya kawaida inaingia akilini watofautiane kiasi hicho?
 
Hoja upingwa kwa hoja , hoja haipingwi kwa kejeli! Ikiwa unaamini huyu anafanya vizuri
1.tupe competitive advantage zake
2.Leta competitive analysis. Kama hutaishia kutoka matusi
Wewe unajuaje kama nitatukana!

Maelezo meeengi!!!

Kiingereza kiiiiingi!!!!!!

CHAKUSHANGAZA HUJAJIBU SWALI!
 
Hiyo ni aina tu ya lugha ya waungwana ya kutokujitukuza.

Hata Mwinyi aliwahi kujifananisha na Nyerere tena mbele yake kuwa ni sawa mlima na kichuguu kwenye muktadha wa kuongoza nchi.

Katika akili ya kawaida inaingia akilini watofautiane kiasi hicho?
Naungana na wewe, Ni lugha tu
 
Amani iwe nanyi wanaJf,

===
Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||
===
Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila alichotamka kwa idadi alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine||

HOJA YANGU HII HAPA,
______________________

1. Je! Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alilenga kuonesha kuwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete hakufanya lolote na hafai au aliamini katika sayansi ya "Comparative analysis|advantage" kama njia bora zaidi ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? kwa kuisaidia hadhira husika kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri sasa wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli wa kutumia na sisi njia ile ile ya " Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani yaani Rais Samia Suluhu Hassan kwakufanya hivyo tunamkosea Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Mafuli ?!
===
Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alilenga kuonesha Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nadhani nawao wanamaana ileile aliyokuwanayo Hayati Dk John John Pombe Magufuli,
===
Angalia hizi picha hapo chini ,nilikozungushia ni rejea ya mwaka 2015 aliyoifanya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli dhidi ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ambayo hata hivyo haijawahi kulalamikiwa na Dkt Jakaya mwenyewe wala walinda legacy wake,

View attachment 2000783

View attachment 2000784
usituletee habari za yule nguchiro humu,
matamshi yeke mengi yalikuwa ya kiuwendawazimu.
OVER
 
Back
Top Bottom