igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,590
- 3,346
Wana jamvi naomba kujua gharama za kitanda kwa mgonjwa aliyelazwa general ward pale MOI kwa bima ya afya ya NSSF... Wenyewe ukiwauliza majibu unayopewa ni subiri siku akitolewa utajulishwa. Sasa changamoto ya bima ya afya ya NSSF ni kwamba kiwango cha mwisho cha malipo yanaweza kuwa covered na bima ni milioni tatu. So ningependa kujua mapema, maana Kuna jamaa kaniambia eti kwa hiyo bima gharama za kitanda pekee ni laki moja kwa siku, bado gharama za madaktari, manesi etc...