June
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 491
- 662
gharama zake zipojeeTumia Domperidone tablets.1x2 per day.hali ikikaa sawa acha kutumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
gharama zake zipojeeTumia Domperidone tablets.1x2 per day.hali ikikaa sawa acha kutumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nmepona ulcers 2012 kutoka kwa mkorea yupo garage pale Ubungo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushukuru sana sana ubarikiweLengo ni kupunguza uzalishaji wa acids na kiwango cha acid (increasing pH) tumboni. Hivyo management ifuatayo itafaa:
• Kutumia dawa ambazo zinajulikana kama antiacids
• Kuzingatia ratiba (muda) wa chakula
• Kuepuka vyakula na vinywaji vyenye acids kwa wingi, n.k.
+ Ratiba ya chakula
Breakfast: 0600-0800 Hours
Lunch: 1200-1400 Hours
Dinner: 1830-2000 Hours
+ Kulala baada ya walau masaa mawili baada ya kula chakula cha usiku.
+ Kutumia mto utakaoinua kichwa kwa sentimita 15-20 wakati wa kulala
+ Kutokula vyakula vyenye majimaji mengi sana wakati wa usiku
+ Kuepuka vyakula vyenye:
> Mafuta mengi
> Chumvi nyingi na sukari nyingi
> Viungo/vikolezo/nyanya nyingi, n.k.
> Kahawa
+ Kuepuka matunda yafuatayo:
> Parachichi
> Ndizi mbivu
> Matunda jamii ya machungwa
> Matunda yenye uchachu
+ Kuepuka vinywaji vifuatavyo:
> Carbonated drinks zote (soda, juisi za kopo, n.k.)
> Maziwa
> Malta
> Energy drinks
> Red bull
> Ice cream
Note: Wagonjwa wote wa vidonda vya tumbo, bila kujali chanzo kama ni acids au H. pylori, wanapaswa kuepuka dawa zifuatazo: diclofenac, ibuprofen, diclopar na aspirin.
Amina, karibu sana.
Dah mzee mbona ni pesa mingi sana, laki tano?Laki5 ipo mkuu usipopona narudisha hela yako. Ila huduma ni pay first in full then unapona ndani ya miezi 3. Ila dawa ni nyeusi km mkaa but tam inachangwanywa na asali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dawa ni za mzungu au za asili?Aisee Kuna dawa zinaitwa Isomalto,Spirulina na propolis ndio suluhisho la vidonda vya tumbo, Kuna mdogo wetu alikuwa anasumbuliwa na hilo tatizo saa hizi imebaki historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bigmind check hapo kwenye neno pm nikuoeAtumie Chiaseeds, km uko Arusha, Moshi na Dsm nitafute pm nikuoe ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dawa ipo inauzwa 7000 ,imeniponesha Mimi na Sasa nakula kilakitu.
Ndio upi huo mkuu...Tumia ushauri wa Paulo kwa Timoteo kama hiyo ulcers ni ya muda mrefu, wengi wamepona kwa kufuata ushauri wa Paulo kwa Timoteo, lakini ni kwa ulcers ya muda mrefu tu, ndio inafanya kazi, usipuuze Paulo alikaa na Luka daktari mzuri kwa muda mrefu hivyo alikuwa anamuona anapotoa dawa zake na kuona wagonjwa wenye matatizo ya tumbo wakipona
1 Tim 5:23
Tafuta hiyo iwapo ni H. piloryDawa ya vidonda vya tumbo inahitajika. Dada yangu amekuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo. Amekuwa anatumia dawa za asili na wakati mwingine zile za kisasa hupunguza maumivu wakati vidonda vinasumbua sana.
Kuna wakati kulikuwa na tangazo la dawa ya NITROGEL samahani kama nitakuwa nimekosea kuiandika. Ilikuwa ikitangazwa sana na kituo cha Tv ya Channel Ten.
Mwenye kujua hii dawa inapatikanaje hapa Tanzania naomba umwagike hapa tupate elimu tosha.
Inapatikana wapii na bei jee
Maduka ya dawa za asili, K'kooInapatikana wapii na bei jee