Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.. Natanguliza shukrani
Dah.. mkuu hebu fanya utume hiyo picha maana hapa wananisumbua balaa nimeshapiga hizi dragnet naona hazisaidii kitu.Mkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa
Weka oil mkuu ni hatari kwa hivyo vijamaaMsaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.. Natanguliza shukrani
Mmhhh!!!!, this is new to me.Rahisi sana.. Nunua chumvi ya kutosha mwaga kwenye huo ukoka. Mchwa hana external membrane kwa maana hiyo chumvi inamkatakata kama vile inavyomkata konokono..
Naomba nitumie picha ya hiyo Dawa DM mkuu au ht hapa kwa faida ya wengi maana mchwa ni balaaMkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa
Mkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tena
Please tunaomba picha ya dawaMkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa
Mi nadhani tujifunze kuelewa maana ya neno dawa. Dawa hutumika kutibu, sio kuangamiza.Mkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa