Anayejiita Salary Slip na Washirika wake wanalilia Demokrasia na Uhuru wa Vyombo vya habari. Wamechukizwa na Uhuru wa gazeti la Mtanzania

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Wakati huo wanataka uhuru wa Vyombo vya habari wakati huo wanachukizwa na habari wasizozipenda wao waliochukizwa ni wao au Mabeberu yamewafanya wawe maspika maana kwa mtanzania mzalendo mwenye akili timamu lazima atambue mazuri yaliyofanyika kwenye Sekta ya Madini nadhani hawa watu hawatumii akili yao kufikiria ni akili ya Mabeberu ACCACIA yameunganisha nyaya wao wanaropoka ropoka tu
 
Ungeambatanisha na hiyo habari ya gazeti tuone
IMG_20190922_153958.jpg


IMG_20190922_153955.jpg
 
Ni mabavicha hayo kutwa kumtukana Magufuli wakati ameyaruhusu yafanye biashara kila mahali lakini ni mavilaza hatari hayajui kama hiyo ni fursa.

Majizi chadema njooni mshangilie sasa ,Tanesco imeshindwa kesi
 
Back
Top Bottom