Anayehitaji kijana wa kazi nipo Mwanza

DAVIES KILANGI

Senior Member
Nov 25, 2018
174
117
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni certificate of information and communication technology.

Natafuta kazi au kibarua chochote kile naweza kufanya ili mradi tu iwe halali kwani ni kijana mtiifu.

Iwe kiwandani, dukani, shells n.k location Mwanza

Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia no 0765885012 au leonardendrew01@gmail.com

Natanguliza shukrani kwa wote wenye moyo wa kussidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom