IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 743
- 350
Habari zenu wadau,nimeona katika forum hii watu hupata ushauri mzuri kuhusu matokeo yao na vitu gani wasome,na mimi naombeni msaada wenu tafadhali katika hili.
Kuna rafiki yangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu akichukua combination ya PCB,na kwa bahati mbaya matoke yake yakawa ni F-E-F,
yaani ana principle moja tu ya chemistry.Nimepata wazo la kumshauri kusoma CLINICAL OFFICER lakini nimeshndwa kujua ni VYUO gani vizuri vinavyoweza kumfaa.Hivyo naombeni mnishauri juu ya vyuo anavyoweza kusoma hii course