Anayefahamu vyuo vizuri vyenye kozi ya clinical officer

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Habari zenu wadau,nimeona katika forum hii watu hupata ushauri mzuri kuhusu matokeo yao na vitu gani wasome,na mimi naombeni msaada wenu tafadhali katika hili.

Kuna rafiki yangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu akichukua combination ya PCB,na kwa bahati mbaya matoke yake yakawa ni F-E-F,

yaani ana principle moja tu ya chemistry.Nimepata wazo la kumshauri kusoma CLINICAL OFFICER lakini nimeshndwa kujua ni VYUO gani vizuri vinavyoweza kumfaa.Hivyo naombeni mnishauri juu ya vyuo anavyoweza kusoma hii course
 
Da! Kweli advance si lolote c chochote kupoteza muda tu kwa wale wenzangu wa sayansi.laiti angelikumbuka hilo pale alipomaliza FORM 4 LEO ANAMALIZA diploma yake ya clinical officer leo sasa anajaza form za tcu anaaenda chukua degree yake ya (MD) UDOM.

Any way kuna chuo kama

MVUMI CLINICAL OFFICER

MACHAME CLINICAL OFFICER
 
Clinical officer inategemea sana matokeo ya kidato cha nne.JE,MATOKEO YAKE YA KIDATO CHA NNE YAKOJE?
 
matokeo yake ya kidato cha nne ana C zote kwenye masomo ya sayansi
 
Mpe pole kaka,mwambie anaweza cha msingi akomae sana,miaka hii kwani ni hatari sana.
 
Naomba kuuliza jee "d" za chem na bios na "e" ya phyicis inaweza kukubalika kusomea hiyo kozi ya clinical officer kwa form 4 wa mwaka huu 2015
 
Naomba kuuliza jee "d" za chem na bios na "e" ya phyicis inaweza kukubalika kusomea hiyo kozi ya clinical officer kwa form 4 wa mwaka huu 2015

hapana ila utaweza kusomea medical laboratory tembelea: www.tihest.org
 
jaman naombeni nifahamishwe kuwa hiv vyuo vya serikali vinavyotoa kozi ya CLINICAL OFFICER nivi ngapi na mnaweza kunitajia au naweza nikavipata link gani na pia O level anaweza kuaply katika vyuo hivyo vya serikali na akapata.....na an apply vipi au kupitia wap...????
 
Mkuu
vyuo ya Afisa Tabibu vipo vingi sana hapa Tanzania
nenda Google andika tu utaviona. ..
 
Back
Top Bottom