Anayefahamu ubora wa vifaa vya Sundar

Kontelo

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
547
250
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini ambako umeme wa tanesco haujafika,kwani naona vifaa vya Sundar vimesambaa kila mahali .
Mkuu Sundar wana bidhaa kawaida kama watu wengine walivyotangulia kusema hapo.
Solar panel, battery na vitu vingine vinavyohusu mfumo wa umeme wa jua vipo vyenye ubora mzuri na vinavyodumu na vinapatikana kwa wakati(inategemea mfuko wako tu)
Kuna kampuni zinatengeneza battery kama Rittar, Deka, Chloride Exide, Surette, BAE n.k.
Kuna kampuni zinatengeneza Solar panel km Oceanic, Ying Li n.k
Kuna inveta za kampuni kama Magnum, Victron, Xantrex n.k
Kuna kampuni zinauza bulb km Phocos, Bramax n.k.
Ni mfuko ndio unaamua unataka mfumo wa umeme wa solar utakaodumu mda gani.
Asante
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,633
2,000
Mkuu Sundar wana bidhaa kawaida kama watu wengine walivyotangulia kusema hapo.
Solar panel, battery na vitu vingine vinavyohusu mfumo wa umeme wa jua vipo vyenye ubora mzuri na vinavyodumu na vinapatikana kwa wakati(inategemea mfuko wako tu)
Kuna kampuni zinatengeneza battery kama Rittar, Deka, Chloride Exide, Surette, BAE n.k.
Kuna kampuni zinatengeneza Solar panel km Oceanic, Ying Li n.k
Kuna inveta za kampuni kama Magnum, Victron, Xantrex n.k
Kuna kampuni zinauza bulb km Phocos, Bramax n.k.
Ni mfuko ndio unaamua unataka mfumo wa umeme wa solar utakaodumu mda gani.
Asante

Nimesoma coment yako, ww ndio unajua solar vizuri. watu wabongelea rubish kabisa
IMG_3490.jpg

81a0a991-e13d-4867-ab65-f044074d132a.jpg

e14e349b-562e-4e85-9b16-74938376d771.jpg

5172317b-b715-464c-a5dc-1f518fd1b6cf.jpg

b34db6d6-e790-438b-9476-60a1bd2f2d90.jpg

IMG_9272.jpg

58e5afc1-91ef-46af-aae9-79984c5f5818.jpg

IMG_8796.jpg

Proffesional tunatumia hivi vitu
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,460
2,000
Can I interest you na bidhaa kutoka dlight?

Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.

Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.

Taa hazivunjiki.

Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.

Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.

Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.

Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.

Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.

Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Kiasi gani hii?
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,460
2,000
Mzee hapa imekutoka kama kiasi gani, na je huu mzigo unasukuma nyumba nzima, kuangalia tv, huku unapiga pasi, friji limewashwa.. unapandisha maji kwenye tanki, taa ziko on, feni hapo hapo etc.
 

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
573
500
Tafuta pro solar atleast wako vizuri hasa kwenye bettery.

Ila ushauri wangu ni huu:-

Panel nunua sundar
Bettery nunua pro solar
Bettery charge controll nunua sundar

Hapo utatumia vizuri tu

Sundar shida yao ni bettery ni mbovu sana.

Kama hutojari nenda mobisol ambao sasa wanaitwa mysol kanunue mtambo wa kuanzia watt 80 kwenda juu (tsh 2000000+), usichukue mitambo ya chini ya watt 80, haipo vizuri.
Nina Battery la pro solar linapiga kazi balaa N100 natumia panel za sundar, ukinunua battery la pro solar hutojutia. Sema panel zao ndio ziko ghali sana.
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,633
2,000
Wakuu ninaswali nina battery N100 je' ninaweza kutumia Friji?

Kaka kuuliza swali la kiufundi bila kutoa details maana yake unataka tuague au tupige ramli ndio tukupe jibu.

Ilo fridge lako sisi tunalijua?
Unataka lifanye kazi masaa mangapi sisi tutajuaje?

Kindly provide supportive information
 

Wil2018

Member
May 25, 2019
54
125
Hao Zola na mobisol wanabidhaa ghali lakini sijui kama wanauza rejareja nadhani wanakufungia mfumo wao na unalipa kwa mwezi,mimi ningependelea kampuni zinazouza bidhaa iliyo bora na nafuu.
Suluisho ni AG energies tuu hao wengine wote changa la macho
 

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,413
2,000
Mwenye uhitaji wa BETRI ZILIZOTUMIKA KWENYE MINARA ninazo.
Usafiri kwa kahama, Singida,Dodoma, morogoro, Mwanza, geita bure mpaka inakufikia no utapeli ushahidi upo kwa wateja wote waliozipata.

BETRI ni 160N/ah
BEI 330,000.

0629945110.
Bukoba.
 

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
573
500
Kaka kuuliza swali la kiufundi bila kutoa details maana yake unataka tuague au tupige ramli ndio tukupe jibu.

Ilo fridge lako sisi tunalijua?
Unataka lifanye kazi masaa mangapi sisi tutajuaje?

Kindly provide supportive information
Mkuu sina friji ila nikipata uhakika kama nitaweza kutumia friji kwenye battery N100 ndio ninunue friji kama hiyo hapo. Kuhusu Solar zangu nina panel 2 za watt 80 kila moja jumla ni 160. Nisaidie.
1637848039874.jpg
 

ndotoyangu

Senior Member
Nov 7, 2020
112
250
Nilinunua Solar Panel ya Sundar, Nimepewa Warranty Miaka 25, Hivi hapa Nasubiri nione kama itafika Mwaka 2044 😕
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom