Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

popote kambi, popote makao, ata nkiacha kwenda kisa ivo vitisho, ntakufa tu.

na familia zinatofautiana kama unavoona tanzania, na makampuni pia ni tofauti kama unavoona tanzania

Wewe kaza buti mzeeh, ukimsikiliza Mtanzania, utakufa masikini. Wewe fanya unacho kiamini.
 
Mara mia ukabebe makopo nchi nyingine kuliko kwenda kufanya kazi za ndani uarabuni, baki bongo tu usipoteze muda kwenda kuishi maisha ya kitumwa, utajutia. Professional work uarabuni ni bahati sana, agents wote bongo wanachukua watu wa kwenda kufanya kazi za ndani tu.
 
Wewe kaza buti mzeeh, ukimsikiliza Mtanzania, utakufa masikini. Wewe fanya unacho kiamini.
Kabisa aisee..na zaidi watanzania hasa vijana hatupendani kabisa, tunaoneana wivu, roho mbaya, kwamba why mwingine afanikiwe, ni wachache sana walio na moyo wa kusaidia ..naona kwenye comments mtu anakupa negative comments ilihali na yeye unakuta yupo huko
 
ni kheli ingekuwa kufa kuliko kupelekewa moto ,waarabu co wa2 wazuri usijidanganye wewe
Ni hatari mno kwenda uarabuni. Kitu cha kwanza ukifika mwajiri anakunyanganya paspoti halafu unakuwa Huna uhuru tena chochote chaweza kutokea.
 
Ni hatari mno kwenda uarabuni. Kitu cha kwanza ukifika mwajiri anakunyanganya paspoti halafu unakuwa Huna uhuru tena chochote chaweza kutokea.
Huyo dogo nimeshamfundisha yote hayo zaidi ya siku 3 namhubiria ila bado mgumu kuelewa.
Ngoja aende akashuhudie mwenyewe akaishi maisha ya utumwa.
Afungiwe ndani miezi 6 bila kuliona jua halaf ndio ataelewa somo kule hakuna kuuza sura.
 
Back
Top Bottom