Anayefahamu kuhusu Waarabu

ujanja

Member
Apr 3, 2021
11
75
Mwenye enough experience na hawa watu, maana, ilianza hivi kuna mwarabu nilikutana, skuonesha tamaa kwenye kuchati ikaonekana amenitamani sana, inshort ni kama alinitongoza.

Sikukataa, ila kiufupi ni mrembo na wako wote ni waarabu, kanihakikishia wazazi wake hawana ubaguzi, inshort ananipenda na huu weusi kama mkaa, sasa nataka kumuoa.

Ila kabla sijafika uko, naombeni wajuzi wa mambo hawa watu wakoje ili ikiwezekanaa niache ila na mimi nampenda maana sio mkorofi ata kidogo ni mpole, katulia mtoto wa watu

Naombeni uzoefu,
 

SECRET AGENT

Senior Member
Jan 4, 2019
164
250
Kuna jamaa alianzaga mpka kuchangisha michango ya Harusi baadae aliitwa na ukoo wa binti wakamuweka kati wakamuambia sisi hatujali binti amekupenda au vipi, tunachotaka achana nae na uache hata kuwasiliana naye. Ilibidi aanze kurudisha michango ya Harusi, hao wabaguzi sana hata Kama labda Mama yake amekubali ila ndugu na ukoo mzima watalipinga hilo suala na kufanikiwa Ni kidogo Sana Sana
 

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,450
2,000
kama mmependana na familia yake imeridhia oa mkuu
wataokupa ushauri humu 90% hawana uzoefu na mahusiano na hao waarabu
wanajitia ujuaji tu na kusikiliza stori za vijiweni

akili kichwani mwako mapenzi hayana formula

cha zaidi wasikilize wazazi wako tena mama na baba kama wapo hai wakikupa go ahead nawe umeridhia nae karidhia oa
 

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
2,013
2,000
Kuna jamaa alianzaga mpka kuchangisha michango ya Harusi baadae aliitwa na ukoo wa binti wakamuweka kati wakamuambia sisi hatujali binti amekupenda au vipi, tunachotaka achana nae na uache hata kuwasiliana naye. Ilibidi aanze kurudisha michango ya Harusi, hao wabaguzi sana hata Kama labda Mama yake amekubali ila ndugu na ukoo mzima watalipinga hilo suala na kufanikiwa Ni kidogo Sana Sana
Unampa mimba
 

kamati yamaamuzi magumuu

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
229
250
Waarabu wanapenda saana fitna na majungu, pia hata ligi kuhakikisha wanashinda au kuondoa mtu fulani katika nafasi fulani, mchango wa mawazo yangu

Kama mnapendana na huyo mwanamke wote, na mnataka kuoana Hakikisha Ukoo wake wote umekubali rasivyo Ndoa yako inaweza isifanikiwe Au Wakaja wakaweka ligi nawewe, huwa hawaoni Tabu Kumtokomeza mtu Down, hata kwa kutumia fedha Kulinda tu Wanavyovitaka viwe #wabaguzi saana hao Jamaa!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom