Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Chanzo: Mwananchi
Hali ngumu sana ya maisha.Hawa watu hawaishi tu!!
Masasi ni mbali ukitokea wapi?SERIKALI ITOE AJIRA MAANA HII VITA YA WATUMISHI FEKI NA VYETI FEKI INAELEKEA KUWASHINDA.YAN HAPA MAHUMBILI JIRANI KABISA KUNA DAKTARI ANA CHETI FEKI,JE HUKO MASASI MBALI??!!!!
Hahahahahhahaha swali zuri saaaaanaMasasi ni mbali ukitokea wapi?
Huyu nae bure kabisa, unakuja kuwajulia hali Ndugu na Stethoscope, hajui hata kujitetea shwaini
Hahahahaha..Masasi ni mbali ukitokea wapi?
Sasahivi atakuwa ametulia zake UkongaHuyu nae bure kabisa, unakuja kuwajulia hali Ndugu na Stethoscope, hajui hata kujitetea shwaini
kageraMasasi ni mbali ukitokea wapi?