Nakuunga mkono. Mama akiendelea kukaa kimyaa dhidi ya hawa watu waliathirika na mfumo dume atapata taabu sana kuongoza hii nchi.

Haiwezekani mbunge wa Chama chako anabehave hivi. Alianza Mtaka kule DODOMA akamdhalilisha waziri wa elimu Ndalichako na sasa askofu Gwajima anamdhalilisha dr Dorothy. This is totally unfair! Raisi Samia usikubali huu uhuni. Chukua hatua haraka,utakuja kunikumbuka! Usik
hakuna mtu aliedhalilishwa, kila mtu akae na kutambua nafasi yake.
 
Kabisa watu wanadhani wataalamu wote wa afya duniani wanaulewa huo ugonjwa wa COVID kinaga ubaga kama ilivyo kwa malaria.

Huo ugonjwa ni mpya sasa hivi tu kuna discussion za ‘long-haulers’ imebainika kuna wagonjwa wengi sana wanabaki na symptoms za COVID symptoms ata baada ya kupona.

Wataalamu wanataka kujua ni kwanini; sasa info kama hizi zinatokana reports, nchi ambazo zina records za wagonjwa wake na wanasampuli wanayoifuatilia.

In short pathophysiology ya uelewa wa COVID zina badilika kila siku kadri wasayansi wanavyojifunza. Na dunia inajifunza kupitia hizi taasisi zinazo fuatilia kwa karibu huu ugonjwa.

Dr Gwajima (kupitia leadership ya serikali) yeye alisimamia kile alichojua kwa wakati ule na msimamo wa boss.

Hata ivyo hizo chanjo yeye au nani mwingine angeenda ziagiza vipi? wao ndio wanaidhinisha matumizi ya serikali, bila ya kibali cha boss.
kumlaumu Ni sahini kwa sababu anaonekana anapigania tumbo lake kutokana msimamo wa bosi na si kitaaluma
 
Gwajima hana tofauti na mfalme Zumaridi. Wangeoana hao mngeona mambo.

Kanisani full usanii tu, hakuna ibada umbea tu. Na watu wanaenda na sadaka wanatoa
 
Ikitokea hivyo hayo yatakuwa maajabu ya karne hii!

Waziri apigwe chini kwa kutekeleza majukumu yake kwa sababu ya mtu anayepinga maamuzi halari ya serikali? Sijui kwa nini unafikiria hivyo?
Huyo Mama akifika 2025 akiwa hiyo wizara itakuwa muujiza.
 
Wanatakiwa wajivunie kuwa na Le-genius kama ‘Dorothy Gwajima’ kwenye familia yao.

Shida ya Dorothy ni demeanour za uanamke wa kawaida (ana mdomo huyo) ila salaleh huyu dada/mama ana uwezo mkubwa mno.

Hata huo mdomo wake ku appreciate msuto wake kuna wasaa unahitaji elimu to decode the messsge and appreciate the joke.

Moja ya sababu watu wengi awamuelewi Gwajima na kuona thamani yake inabidi uwe eclectic kwenye general knowledge ili ujue uwezo wake.

Kwa sasa Tanzania, mimi binafsi hata kwenye nafasi ya uraisi sijaona wa kumpa kura zidi ya.Dorothy Gwajima, she is too clever and eclectic in general knowledge which rare in Tanzania.
 
Back
Top Bottom