Anawaonea huruma CHADEMA lakini.....

Viongozi wa CCM waongoze nchi na siyo kufikiria kuua Chadema.....kamwe huwezi kuua fikra za mtu.
 
Chahali ni Kigogo aliyepooza
Chadema imefanikiwa kuwa tasisi kubwa sana indicators hili ni jinsi inavyotajwa kwenye mitandao inatajwa zaidi ya ccm,ndiyo maana akina kigogo,chahali,Kimambi kutwa kucha ni chadema chadema jamani muwe mnaiongelea hata TLP basi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom