Anawakilisha

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,948
709
Nimefurahi kukutana na hii picha somewhere ikionyesha huyu mwanadada akiwakilisha kundi hilo. Hatuna budi kumjivunia.......
Tazama kisha toa maoni.

attachment.php
 

Attachments

  • Singe.jpg
    Singe.jpg
    11.9 KB · Views: 267
Wanakula tizi la kujiandaa na uchaguzi................................
 
...Akiwa demu wako anataka pesa ukamnyima anaweza kukupa kipondo!!!
 
Yap huyo mdada yuko juu,ni mwepesi vibaya mno ila yawezekana na upande wa wa 6 kwa sita ni mchakarikaji au,mmmm
 
Back
Top Bottom