SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Mke wangu alipatwa maralia na kupewa dawa Duo cotexin na panadol kwa siku tatu. Amemaliza dozi trh 17 Dec. Lakini ameendelea kutapika,kuumwa kichwa, kuharisha na joto kupanda. Kuona hali haibadiriki, tarehe 19 Dec alirudi hospital ambako alipimwa na kukutwa hana maralia na kuchomwa sindano za kuzuia kutapikan na vidonge vya kusafisha mkojo kwani ilionekana mkojo ni mchafu. Alikuwa hana typhod wala maradhi mengine (HIV).Alipewa pia vidonge vya kuzuia kutapika. Cha kushangaza anazidi kuumwa kichwa, kutapika na joto kupanda. Anaumwa nini na nifanyaje kumtibu?