Anaumia tukifanya mapenzi...

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,017
9,738
Habar wakuu, ebwana kila nkifanya mapenz na mpenz wangu huwa analalamika anaumia kila tunapoanza ila baada ya muda flani maumivu huwa yanapungua. Kwa kumuandaa huwa namuandaa sana smtym hata kwa lisaa limoja huwa tunafanya romance, sasa huwa najiuliza tatizo ni nin coz me huwa nafikiria huwa ni saikolojia yake jins anavyoiweka.

Kwa miaka mi3 anadai huwa yupo hvyo na siku tulipoachana ndo akadai hivyo bt alikua anavumilia coz nshamwambia ni saikolojia yake tu....nilifanya na mwngne naye akawah kulalamika hvyo....hebu nsaidieni wakuu tatzo ni nini haswaaa......
 
ANGALIA SIZE YA "TEMBO WAKO" VIS-A-VIS "KISUNGURa' CHA MWENZIO...ANGALIA PIA STAILI UNAYOTRUMIA KUBISHA HODI.
PENGINE CHUNGUZA IWAPO MAPENZI YA KWELI YAPO BAINA YENU AU LAH..WENGINE WANATUMIA MBINU KMA HII IWAPO HANA MAPENZI YA DHATI ILI KUKUZUIA USIMGUSE..ANGALIA IWAPO UPO PEKE YAKO AU LAH..WENGINE ANAKUWA KISHA CHOSHWA SEHEMU HIYO NA MBADALA WAKO NA WEWE UNAPOTAKA HUDUMA INAKUWA KWELI ANAUMIA..
 
mkuu hbu kuwa muwazi hiyo KUNI yako hukuchanjia kweli.....................mana haiwezekani kila m2 alalmike
 
mzee isije ukawa una mshipa usiop wa kawaida .... hahahah maana unaweza kumwandaa mtu lkn akashindwa kuhimili paipu
 
Umeoa? kama unafanya uzinzi ujue wafanya hivyo na wake za wenzio wakwako utalinganishiwa size zoote kwakwo na kwake hakuna lalamiko pande zozote
 
Back
Top Bottom