Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,033
- 9,788
Habar wakuu, ebwana kila nkifanya mapenz na mpenz wangu huwa analalamika anaumia kila tunapoanza ila baada ya muda flani maumivu huwa yanapungua. Kwa kumuandaa huwa namuandaa sana smtym hata kwa lisaa limoja huwa tunafanya romance, sasa huwa najiuliza tatizo ni nin coz me huwa nafikiria huwa ni saikolojia yake jins anavyoiweka.
Kwa miaka mi3 anadai huwa yupo hvyo na siku tulipoachana ndo akadai hivyo bt alikua anavumilia coz nshamwambia ni saikolojia yake tu....nilifanya na mwngne naye akawah kulalamika hvyo....hebu nsaidieni wakuu tatzo ni nini haswaaa......