Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

There is power within bargaining.

Jamaa amtext huyo Ex, amuulize nini haswa anachokitaka? Anataka hela? Demu alimuibia?

Nini kifanyike ili tabia hiyo ya kutuma video iishe?

Ukishajua motive behind the move, you can make a way forward. Kwa sababu tayari umeshajua makusudio ya jamaa.
 
Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j

binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka kapa, jamaa sura haonyeshi, yeye hajirekodi anamrekodi binti tu pindi wakiwa kwenye tendo.

Kwa upande wa binti alisita mwanzoni kumjua ila nikamshauri rafiki afanye namna fulani ili aseme, binti akakiri ni yeye ila sasa walishachana kitambo na huyo jamaa, namba zake hazipatikani na hata makazi yake alihama.

Kwenda polisi jamaa hataki Kusikia kabisa anataka kumaliza mambo yeye na mhusika bila habari kusambaa.

Sasa kwa hali hii huyu rafiki achuke uamuzi gani

Mbona sasa umekuja kusambaza habari huku?
 
Rafiki = Wewe. Achana na huyo manzi, songa mbele.
Binafsi nina mke na watoto wawili mkuu.

Hali yangu ya kujumuika na watu ofisini, kanisani, mtaani, shuguli za kijamii, ndugu, n.k imenifanya nishirikishwe na kushuhudia mambo mengi sana katika HII dunia.
 
"Mkuu umesema jamaa anataka kumalizana na X wa demu wake bila ya kwenda polisi ili kuthibit jambo hili kusambaa!"..........Sasa kwa kulipost humu mbona tayari umeshalisambaza? Maana sio mimi na wewe tu watakaopitia huu uzi, na wao pia watakata hii story sehemu nyingine na hivyo kusambaa kama yote!
Ushauri kwa jamaa: Yeye amjibu huyo bwana kwa kutumia msg za whatsap hizoizo na kumrudi video hizo, kisha amkanye aache kumtumia hizo video kwani yeye si mhusika!
Ushauri kwa binti: Afanye jitihada kumpa onyo kali na kumtaka aache mara moja huo mchezo na akiendelea amshtaki kwani kosa kisheria kusambaza video za mtu bila idhini yake! Akiendelea asisite kumfikisha polis, teknolojia ni pana atakamatwa tu labda awe huko nje ya Tanzania!
 
"Mkuu umesema jamaa anataka kumalizana na X wa demu wake bila ya kwenda polisi ili kuthibit jambo hili kusambaa!"..........Sasa kwa kulipost humu mbona tayari umeshalisambaza?
Jambo limesambaa kivipi??

Unanijua??
Unamjua victim??
Umeiona hio video??

Unajua ni watu wangapi wanafanyiwa hivi vitu??
 
Jambo limesambaa kivipi??

Unanijua??
Unamjua victim??
Umeiona hio video??

Unajua ni watu wangapi wanafanyiwa hivi vitu??
Jikite kwenye hoja zangu hapo! Acha mihemko! Hapa jukwaani hatuchangii mada kwa kujuana, bali tunachangia maada kulingana na uzito wake! Kama unataka mada yako ichangiwe na watu unaowafahamu tu kwanini usiwaorodheshe hapa??....Humu ndani watu ni Great thinkers, ukijichanganya, lazima watakurudisha penye point!
 
Ukiwa dhaifu kwa adui ndio unampa ushindi; cha muhimu ni kuwa ngangari na kutofuatilia video zinazotumwa, kwa sababu hakuna cha ajabu hapo wote ni watu wazima
 
Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j

binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka kapa, jamaa sura haonyeshi, yeye hajirekodi anamrekodi binti tu pindi wakiwa kwenye tendo.

Kwa upande wa binti alisita mwanzoni kumjua ila nikamshauri rafiki afanye namna fulani ili aseme, binti akakiri ni yeye ila sasa walishachana kitambo na huyo jamaa, namba zake hazipatikani na hata makazi yake alihama.

Kwenda polisi jamaa hataki Kusikia kabisa anataka kumaliza mambo yeye na mhusika bila habari kusambaa.

Sasa kwa hali hii huyu rafiki achuke uamuzi gani?
"Miriraaa miriraaaa kuchapiwa ndiyo Maishaaaaa"

sijui kama nimepatia ila ujumbe ndo huo mkuuu pole sana kwa kuchapiwa

By the way 👇👇👇👇

Artist: Tembalami
song: Mirira
 
Back
Top Bottom