Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Jamani ushauri wenu ni muhimu.,
Ni rafiki yangu ambaye tumemaliza naye chuo, katika kurupukushani za kutafuta kazi amegundua kuwa kuna boss mmoja ambaye alimhaidi dada yake kuwa atamtafutia kazi kijana. Ila kinachomfumbua ni kuwa yule boss anatumia kama kigezo cha kumtaka dada yake, kimapenzi ile hali ameshaolewa! Kijana anaomba ushauri jamani akache au apotezee apate kazi.