Anatomy of Incompetence; A Pattern of Mediocrity

kwa kifupi ni kuwa sisi hatujifunzi. Ngoja msikie ajali nyingine za moto ukiwaoka watoto wetu tena mwaka huu na wote tutabakia kushtuka na kuimbiwa "mapenzi ya Mungu".
CCM wapo busy kuwalazimisha watanzania waamini kuwa Warioba nimwehu, serikali 3 si mshikamano wa nchi, kwa CDM ni adui wa amani, kuwa CCM kwa miaka 50+ wamepata uzoefu wa serikali 2 kuwa ndio bora(bila kujua kuwa mika 50+ hawajapata uozefu wa 3 na hivyo hawajui), wapo busy kusema kura za wazi ktk bunge la katiba ni haki, ila za kuwachagua, au wandishi kuingia ktk kamati haki ya watanzania inaondoka.
 
tunaishi kwa nasibu sana; tunaishi kwa kutegemea "mapenzi ya Mungu" na hivyo tunaoombea mambo hayatakuwa mabaya.

Nilitoa pendekezo zamani sana kwenye "Taifa lisilojiandaa kwa Majanga" na kusema kuwa milango ya mashule yote na maeneo yote ya hadhara (public accommodation facilities) ifungukie kwa nje. Mabweni, mahospitali, n.k Hadi leo hakuna kiongozi anayefikiria jambo hilo kulifanya.

Siku watu wakiokwa tena au kufa katika mazingira ya kizembe kama wale watoto 19 Tabora utasikia watawala wanavyokimbia kwenda kutoa pole na rambi rambi wakija na tume mpya ya kuchunguza!

Down memory lane.. miaka yote hii bado tu...
 
Down memory lane.. miaka yote hii bado tu...

Mwaka 2009 nilikuwa form 4.

Duh alafu cha ajabu Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela sasa hivi saa 0011 kalala kakumbatiana na mkewe wanapeana joto wakati Mv Nyerere imepinduka watu wamekufa.

Nimejikuta nakumbukia kule Thailand wale watoto na mwalimu wao michezo walipokwama ndani ya lile pango. Serikali ya Thailand iliita msaaada kutoka pande za dunia mpaka watoto wale wakaokolewa. Peru nako kuna mwaka mgodi wa makaa ya mawe uli-colapse ambapo ilipelekea serikali kutokulala mpaka wale walionaswa kutolewa wakiwa hai maana ilichukua kama miezi 2.

Leo Mkuu wa mkoa kaenda lala wakati ilibidi ashughulike kweli kweli. Hivi mimi nikiwatukana nitakuwa nimetenda kosa maana hapa nina hasira, haiwezekani watu wanakufa mmekwenda kulala eti giza.

Duhhh haya bwana mbarikiwe sana watawala wetu
 
I would describe it as "Incompetence and Irresponsibility" and not merely "Negligence nor Ignorance".

Julius Lukasiewicz, 1994, Land Of Many Facts, at Page 73. Wrote that; And i quote...

... It is no accident that failures of technology are often blamed on "human error". In fact, broadly interpreted that human error is the "only" possible cause of technology failure. The nature of error may range from sheer ignorance to incopetence and irresponsibility...
 
Unajua jana nilikaa nikafiria, kama pale Dar kuna kituo kimoja tu cha zimamoto, je kule Kyela viko vingapi?

Sijui zile hela zote za EPA zingeweza kujenga vituo vingapi vya zimamoto...
Mkuu kituo cha kuzima moto Kyela ,hata ndoto hakuna kusema kweli wewe umekuwa mtu wa kwanza kuzungumzia kituo cha zima moto wilaya ya Kyela,wasiwasi wangu ni soko la Wakinga pale mjini Kyela,si madiwani wala raia wanazungumzia suala la kituo cha zima moto Kyela,wakati wilaya nyingine nikisikia wana mpango hata wa kununua gari la zimamoto kwa Kyela ndio wewe wa kwanza kukusikia.hata likiwepo hilo gari sijui maji watapata wapi kwa maana Kyela maji wanayotumia ni ya visima,kila kaya Kyela ina kisima cha maji yasiyo salama,maji ya mfereji bomba tunasikia tu kwenye vyombo vya habari.
 
Thank you Mzee Mwanakijiji for so painstakingly listing the explotion accidents that have become so widespread in our beloved country. After the Mbagala disaster, I expected the authorities to demostrate their alarm and concern by taking drastic action, both political and administrative, but it appears that they have forgotten. Even Parliament is treating this latest conflagration as "matters as usual".

It is obvious that in this country, leadership is mediocre in the extreme resulting in ineptitude and incompetence in fullfilling their functions and responsibilities, especially that of safeguarding the lives of the people. It is not a matter of organizing demonstrations, as suggested by JF Member Shy. It is a question of studiously planning the removal from power, the party that has relinquished its responsibility to fellows only mindful of filling their pockets and bank accounts with ill-gotten fortunes.

It is a political question and has to be tackled politically. Rally up to the parties that can save us from this impasse.
Those days are long gone bro! Talking about demonstrations 😀
 
Unfortunately, they are those among us who still believe that we have no control as human beings on what happens to us. We have surrendered ourselves to fate and fortune..
 
Leaching....

We have lost so many intelligent soldiers

Mediocrity is contagious
 
Back
Top Bottom