Anatomia ya Mashambulizi dhidi ya Lazaro Nyalandu

Mnyamahodzo

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
1,858
Likes
236
Points
160
Mnyamahodzo

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
1,858 236 160
Unapotafakari kuhama kwa The Nyalandu kuyoka CCM kwenda CHADEMA na Yale yanayomsibu kuna mambo mengi utang'amua.
 1. Mwl Nyerere akiwa Mwenyekiti wa TANU na CCM wako waliotoka katika TANU kwa sabbu tofauti ikiwa ni pamoja na Oscar Kambona, Kasanga Tumbo, n.k.
 2. Alhaji Mwinyi akiwa Mwenyekiti wa CCM, wako waliotoka CCM kwasababu mbalimbali ikiwani pamoja na Barongo, Augustine Mrema, Mabele Marando, Kighoma Malima, Maalim Seif S Hamad, n.k.
 3. Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, wako waliotoka CCM kwasababu mbalimbali ikiwa pamoja Dr W. Slaa, Mzee Tumbo,
 4. Kanali Kikwete akiwa Mwenyekiti was CCM, wako waliotoka CCM kwasababu mbalimbali ikiwa pamoja na Mpendazoe, Shibuda, Kingunge Mwiru, Lowasa, n.k.
 5. Mwl Magufuli akiwa Mwenyekiti wa CCM, kiongozi aliyehama CCM kwasasa ni Lazaro Nyalandu.
Katika vipindi vya huko nyuma, utaona mashambulizi juu ya waliohama hayakuwa kama ya sasa kwa Nyalandu. Angalia aina ya kauli wanazotoa viongozi wa CCM na mawaziri pia juu ya Nyalandu. Ili kuipata vizuri hoja yangu ingia kuyatafakari maswali haya:
 1. Nani anawatuma kumshambulia Nyalandu?
 2. Wanaomshambulia Nyalandu wanamsukumo wa dhati toka ndani mwao au ni maagizo au wanafanya kumfurahisha MTU.
 3. Ni nani anayechukizwa zaidi na kuhama kwa Nyalandu, hao wenye kuzumngumza au Mwenyekiti wa Chama?
 4. Unafikiri sababu alizozitoa Nyalandu juu ya kuihama CCM, zinamuathiri zaidi mwanachama au Mwenyekiti?

Kwasasa tunasheria ya Uhalifu/makosa ya kimtandao, mbona haifanyikazi pale Nyalandu anapozushiwa mambo lakini inataka kufanya kazi kwa wale wenye kumtetea? maana kauli za vitisho zinayylewa dhidi yao.

 • Juu ya Mhe Waziri Kigwangala kumshambulia Nyalandu, ambaye anaweza akafikia kiwango cha kutoa siri za Baraza la Mawaziri, je kutamjenga Kigwangala na kumchafua Nyalandu tu au hadi Kikwete?
 • Kitendo cha Kigwangala kumshambulia Nyalandu unafikiri kina faida ya kuwaonyesha wote walokuwa nyuma yake, kwamba mheshimiwa haogopi kitu au lugha ya mtu muoga kushindwa kupambana nao mwenyewe isipokuwa kwa mgongo wa Nyalandu anapiga kelele?
 • Kwanini Kigwangala hamtaji Mhe Maige au Maghembe au Zakhia Meghji bali Nyalandu?

Wanaomshambulia Nyalandu, je ndiyo haohao wanaomchukia Lissu?

Tuanze kwa maswali rahisi ili tutakapoingia kwenye maswali magumu, tusiachwe midomo wazi kwa mshangao.
 
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
8,521
Likes
11,566
Points
280
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
8,521 11,566 280
Jibu liko wazi, anamfurahisha Sizo. Ila at the end hii issue itakuja kumgharim huyo huyo Magwangala.
 
Amanikullaya

Amanikullaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
875
Likes
870
Points
180
Amanikullaya

Amanikullaya

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
875 870 180
Ni visasi mwanzo mwisho
 
Kipapatiro

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Messages
910
Likes
1,102
Points
180
Kipapatiro

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined May 18, 2017
910 1,102 180
Unapotafakari kuhama kwa The Nyalandu kuyoka CCM kwenda CHADEMA na Yale yanayomsibu kuna mambo mengi utang'amua.
 1. Mwl Nyerere akiwa Mwenyekiti wa TANU na CCM wako waliotoka katika TANU kwa sabbu tofauti ikiwa ni pamoja na Oscar Kambona, Kasanga Tumbo, n.k.
 2. Alhaji Mwinyi akiwa Mwenyekiti wa CCM, wako waliotoka CCM kwasababu mbalimbali ikiwani pamoja na Barongo, Augustine Mrema, Mabele Marando, Kighoma Malima, Maalim Seif S Hamad, n.k.
 3. Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, wako waliotoka CCM kwasababu mbalimbali ikiwa pamoja Dr W. Slaa, Mzee Tumbo,
 4. Kanali Kikwete akiwa Mwenyekiti was CCM, wako waliotoka CCM kwasababu mbalimbali ikiwa pamoja na Mpendazoe, Shibuda, Kingunge Mwiru, Lowasa, n.k.
 5. Mwl Maguguli akiwa Mwenyekiti wa CCM, kiongozi aliyehama CCM kwasasa ni Lazaro Nyalandu.
Katika vipindi vya huko nyuma, utaona mashambulizi juu ya waliohama hayakuwa kama ya sasa kwa Nyalandu. Angalia aina ya kauli wanazotoa viongozi wa CCM na mawqziri pia juu ya Nyalandu. I'll kuipata vizuri hoja yangu inghia kuyatafakari maswali haya:
Nani anawatuma kumshambulia Nyalandu?
Wanaomshambulia Nyalandu wanamsukumo wa dhati toka ndani mwao au nimaagizo au wanafanya kumfurahisha MTU.
Ni nani anayechukizwa zaidi na kuhama kwa Nyalandu, hao wenye kuzumngumza au Mwenyekiti wa Chama?
Unafikiri sababu alizozitoa Nyalandu juu ya kuihama CCM, zinamuathiri zaidi mwanachama au Mwenyekiti?

Kwasasa tunsheria ya Uhalifu/makosa ya kimtandao, mbona haifanyikazi pale Nyalandu anapozushiwa mambo lakini inataka kuganya kazi kwa wale wenye kumtetea maana kauli za vitisho zinayolewa dhidi yao.

Juu ya Mhe Waziri Kigwangala kumshambulia Nyalandu, ambaye anaweza akafikia kiwango cha kutoa siri za Baraza la Mawaziri, je kutamjeng Kigwangala na kumchafua Nyalandu tu au had I Kikwete?
Kitendo cha Kigwangala kumshambulia Nyalandu unafikiri kina faida ya kuwaonyesha wote walokuwa nyuma ya kwamba mheshimiwa haogopi kitu au lugha ya mtu muoga kushindwa kupambana nao mwenyewe isipokuwa kwa mgongo wa Nyalandu anapiga kelele?
Kwaninj Kigwangala hamtaji Mhe Maige au Maghembe au Zakhia Meghji bali Nyalandu?

Wanaomshambulia Nyalandu, je ndiyo haohao wanaomchukia Lissu?

Tuanze kwa maswali rahisi ili tutakapoingia kwenye maswali magumu, tusiachwe midomo wazi kwa mshangao.
Am telling you mkuu. Kigwangala ameanza vibaya hawezi kamwe kufikia hata robo tu ya juhudi za Nyalandu....
 
J

Jadi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
1,456
Likes
459
Points
180
J

Jadi

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
1,456 459 180

Kwa nini usitulie ukaandika kwa usahihi?makosa ya kiuchapaji ni mengi sana hadi haivutii kusoma
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
1,231
Likes
1,626
Points
280
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
1,231 1,626 280
Kamata Nyalandu weka segerea....viboko 30 kuingia Kutoka pia viboko 30...hakuna mchezo hapa...hapa kazi tuu
 
A

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Messages
488
Likes
592
Points
180
A

abdukarim

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2017
488 592 180
Kigwa ana mihemko sana utafkir yeye ndoo wakwanza kupata hyo wizara ,sjui kama slim yake inamsidia
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
9,865
Likes
8,322
Points
280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
9,865 8,322 280
Kwa nini usitulie ukaandika kwa usahihi?makosa ya kiuchapaji ni mengi sana hadi haivutii kusoma
Sasa, ulipenda ikuvutieje? Ujumbe uliodhamiriwa umeupata? Au weye kazi yako ni kufanya punctuation kwenye mabandiko ya watu tu? GtH!!!
 
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
3,937
Likes
2,360
Points
280
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
3,937 2,360 280
Kwa nini usitulie ukaandika kwa usahihi?makosa ya kiuchapaji ni mengi sana hadi haivutii kusoma
Wewe tu, kwasababu ya akili yako ndogo. Wenzako hatuonagi hizo error, kwakuwa tunakuwa tubatangulia mbele ya mwandishi. Pole sana, kama umeshindwa kuelewa, najua kusoma umesoma!!
 
Forum statistics

Threads 1,235,453
Members 474,585
Posts 29,222,574