Anatapika sana

Old-Timer

Member
Aug 9, 2011
76
15
Mke wangu anaujauzito wa wiki sita sasa, na ni ujauzto wa kwanza. Amekua akitapika sana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yani chakura hakikai. Kuna dawa inaitwa NOSIC nimesoma kwenye net inaweza msaidia. Tunahofia kutumi dawa hiyo, hatujui madhara yake. Tafadhali wenye ufahamu wa dawa hiyo tusaidieni.
Asante,
 
Kutapika kunako sababishwa na ujauzito, hakuna dawa...! Kinachotakiwa ni mwanamke mwenyewe tu ajitahidi kula vyakula anavyoweza kula, na si lazima ale mpaka ashibe, just few bites tu na maji kidogo, just funda moja...!

Kabla ya kuamua kununua dawa za kuzuiya kutapika ni bora kuonana na bwana mganga kwenye zahanati ya wajawazito, watawashauri vizuri, msije kutumia dawa mkamzuru mtoto wenu aliye tumboni.
 
Pole sana kijana. Idadi kubwa ya wanawake wanapokuwa wajawazito huwa wanatapika. Wengine kutapika hukoma baada kama ya miezi 3 na wengine huendelea kutapika hadi kufikia muda wa kujifungua. Mara nyingi wengi wao hutapika asubuhi na hali inakuwa naormal wakati mwingine. Mshauri atumie vyakula au vinywaji vyenye uchachu uchachu, vitamsaidia.
 
Back
Top Bottom