Anataka kusema nini?

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,014
5,610
In a thread kule MMU, kuna dada amesema
she has slept with more than 120 men so far.
Huyu member kaja na post hii:
you very sorry!! u was try to check HIV? I want to met you can you proceed it please??
What was he trying to say? hivi kwanini hatuandiki tu kwa kiswahili?
(au tumix basi maana kiswahili chenyewe sio wote tunakiweza).
Ila na mwenye hiyo thread nilikonukuu hii hapa nae kingereza chake kibovu
IMO bora nichemke kwa kiswahili kibovu, at least nitaeleweka, but english...
 
Hata mimi nimeiona hiyo thread na nimeshangaa sana kwa nini huyo mdau alitumia lugha ambayo haimudu. Hii ipo sana hapa JF.
 
Sometimes I say to myself bora kuchemka kwa kiswahili, it goes unnoticed.
Ukichemka kwa kilugha lazima watu watakucheka na ku-question education.
But on the other hand, tukikosea hata kiswahili, kudhungu tutakipatiaje tena?
Maana we talk kiswaz 27/7, na tunashindwa kukiongea kwa ufaswaha... shame
 
English hapa JF ni status, symbol of which wrung on the social ladder one is.. Kwa hiyo mtu anakifumua tu, akijua yuko ok.Wapo watu wawili hapa JF(naomba nisiwataje) wanapenda sana kutumia kiingereza wanapojisikia kufanya hivo na hicho kiingereza ni cha std iii-vii. Huwa kila mara nakomenti hivi:Ungeandika kwa kiswahili ingenoga sana! Kwa umbumbu walio nao hao watu, wananijibu kwa kusema: Kiingereza kinakupa shida? Shauri ya kuogopa umande asubuhi ndo maana huelewi! Ninavimbaga kwa hasira mpaka najisikia ntapasuka!
 
Hahahaha, itabidi niwe makini niwaone hao watu wawili.
Strangely, ni mara chache sana watu ku-criticize kiswahili.
Isn't it where our critics should have been? #JustThinkin
 
Humu JF nshaona watu si tu kucriticise Kiswahili ila kupiga kelele kubwa sana hasa kuhusu wale ndugu zetu wa kagera, shinyanga tabora na mara ambao huandika na kusema hivi: Tafadhari niretee chakura nire. Hilo eneo ndo linapigiwaga kelele sana. Kwa kuwa sarufi ya kiswahili ni ya kibantu, watanzania wengi hawafanyi makosa makubwa kwenye kiswahili kama wafanyavyo kwenye kiingereza Mwali.
 
Last edited by a moderator:

Kuna vitu viwili tofauti. Kuna kuandika kwa accent (ni kosa but understandable) na kuna kuandika makosa kabisa, kama "wanavoandikaga" watu wa kigoma. Kuandikaga sio kiswahili. that is a mistake, sio kama anae sema tafadhari. hii ni accent tu, sema immekua extended to the writting.
 
mwali umeongea kama lugha huiwezi si bora kuwaachie wengine wanayoweza waitumie, kulikoini kutupa majanga bure jamani, kwani ukiandika kwa kikwenu hutapata wachangiaji andika lugha uliyoizoea jamani
In a thread kule MMU, kuna dada amesema
she has slept with more than 120 men so far.
Huyu member kaja na post hii:

What was he trying to say? hivi kwanini hatuandiki tu kwa kiswahili?
(au tumix basi maana kiswahili chenyewe sio wote tunakiweza).
Ila na mwenye hiyo thread nilikonukuu hii hapa nae kingereza chake kibovu
IMO bora nichemke kwa kiswahili kibovu, at least nitaeleweka, but english...
 
In a thread kule MMU, kuna dada amesema
she has slept with more than 120 men so far.
Huyu member kaja na post hii:

What was he trying to say? hivi kwanini hatuandiki tu kwa kiswahili?
(au tumix basi maana kiswahili chenyewe sio wote tunakiweza).
Ila na mwenye hiyo thread nilikonukuu hii hapa nae kingereza chake kibovu
IMO bora nichemke kwa kiswahili kibovu, at least nitaeleweka, but english...
Jamaa anajua kuongea vizuri tu "kikristu" tatizo amegundua kuwa yumo katika hao 120 tena yeye wa 119 sasa kila herufi anaona kama "kirusi-mdudu"asibabaike vipi na ubongo umegandaje?
 
Back
Top Bottom