Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli! Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile.
Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake! Kumpenda nampenda, nifanyeje?
Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake! Kumpenda nampenda, nifanyeje?