KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 640
- 1,011
- Thread starter
- #21
Msaidie hapa! Atasoma ushauri wako.Kubali wito Kataa ombi...hujajua namsaidia nini
Msaidie hapa! Atasoma ushauri wako.Kubali wito Kataa ombi...hujajua namsaidia nini
sureAfanye kazi itakayomtanua career yake na kumpa options.
Nimekuelewa sana.Wanaoacha kazi siku zote hawaombi ushauri
Take home ni kama haifiki hata 600k due to makato ya bodi + makato mengine ni EDuuh pagumu apo atleast ningejua pamoja na kupanda daraja yupo scale ipi TGTS ipi?
Au roughly anachukua take home Tsh ngapi?
Ni Mwalimu wa Degree ama?Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja.
Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.
Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Hiyo 1m+ ameweka hadi makato ya bodiya mikopo.Ni Mwalimu wa Degree ama?
Hilo shirika, hiyo 1M+ ni take home au Basic?
Kama ni Mwalimu wa Degree na kapanda daraja...namshauri aendelee tu na ualimu.
Sawa sawa.Aende kwanza kwenye interview akifanikiwa na kupewa mkataba ndo anaweza kuaacha iyo kazi ya ualimu pia kama ni mchapakazi mzuri kuna uwezekano akaongeazewa mkataba baada ya iyo miaka miwili.
Take home ni kama haifiki hata 600k due to makato ya bodi + makato mengine ni E
Asante kwa ushauri.Akomae na ualimu
Kama iyo kazi haina motisha yeyote (malupulupu) - 1mil ni mule mule alaf BODI ya mikopo tunako endea,, hili swala wata kutrace hata uwe wapi
Yaani atleast iyo kazi angekua anachukua kuanzia 2mil ningemwambia aende! (Two times ya unako toka)
Ana risk kwa almost the the same amount! Labda ingekua ni biashara ningemwambia akome nayo ila Kwa apo
Abaki ualimu tu
omb likizo bila malipo. maan 1m ndogo sanaWasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja.
Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.
Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Hiyo ni take homeomb likizo bila malipo. maan 1m ndogo sana
Sio Kila msaada Ni Ushauri...mwingine Ni utendaji kabisaMsaidie hapa! Atasoma ushauri wako.
hakuna kitu kaka hta ingekua tke lodge.Hiyo ni take home
Mkuu umeniwahi nilikuwa na mawazo kama ya kwako.Akomae na ualimu
Kama iyo kazi haina motisha yeyote (malupulupu) - 1mil ni mule mule alaf BODI ya mikopo tunako endea,, hili swala wata kutrace hata uwe wapi
Yaani atleast iyo kazi angekua anachukua kuanzia 2mil ningemwambia aende! (Two times ya unako toka)
Ana risk kwa almost the the same amount! Labda ingekua ni biashara ningemwambia akome nayo ila Kwa apo
Abaki ualimu tu
Swali zuri na ufafanuzi mzuriHiyo kazi ni ya mkataba Wa muda gani?? Pia akafanye usaili kwanza maana kuitwa kushiriki interview ni hatua moja ila kufaulu ni hatua nyingine