Anatafutwa na polisi!!

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Mtu mmoja anatafutwa na ghesi la bholis yeyote atakae muona atapata zawadi ya kunusa kikwapa cha mlevi wa mnazi na komoni.huyu mtu ni mlefu kama nguzo za umeme,anamacho makubwa kama ngumi ya mwizi,ana wake 50 na watoto 200 familia yake inakula gunia 20 kwa siku.mtu huyo anapenda kutembelea poli lenye wanyama wakali na sehem za mochwali.
 
Huna jipya,sepa zako huko,wavamia vamia fani za watu na kutupotezea muda bana!
 
Nimeshaliona jitu hilo, liko kwenye pori kubwa liitwalo tanzania, jina la jitu hilo linaitwa ccm waambieni police wanipe zawadi yangu, ccm ni lirefu kama nguzo ya umeme linawanawake hamsini na watoto mafisadi hamsini linakaa porini tanzania kwenye wanyama wakali like chadema n.k.
 
KIJIICHAKE wewe hukurupuki ku coment.maana umejibu hiyo kama kweli.
 
NGOJA NIWATAFUSIRIE KUHUSU HILI JITU: Huyu mtu anaitwa ccm,wale wanawake hamsini ni miaka hamsini ya kutawala kwake,watoto mia mbili ni mafisadi wanao itafuna nchi, wakiwemo wabunge wake,urefu kama nguzo ya umeme ni udikteta na kiburi cha ccm,wale polisi wanao tafuta m2 huyu ni changamoto za kiutendaji na kiuchumi ndani ya serikali,lile pori ni nchi ya tanzania, nawale wanyama wakali ni chadema na wafuasi wake manake wamekaa katika hali ya kulirarua jitu hili japokuwa ni tajiri na nilirefu mno.
 
Nimeshaliona jitu hilo, liko kwenye pori kubwa liitwalo tanzania, jina la jitu hilo linaitwa ccm waambieni police wanipe zawadi yangu, ccm ni lirefu kama nguzo ya umeme linawanawake hamsini na watoto mafisadi hamsini linakaa porini tanzania kwenye wanyama wakali like chadema n.k.

akili bwana kitu kizuri kweli kweli. wakati watu walianza kuipondea wewe umeiokoa. safi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom