Anatafutwa na polisi!!


Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Messages
5,299
Likes
714
Points
280

Slave

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2010
5,299 714 280
Mtu mmoja anatafutwa na ghesi la bholis yeyote atakae muona atapata zawadi ya kunusa kikwapa cha mlevi wa mnazi au komoni na kifungo cha miaka 800 jela.huyu mtu ni mlefu kama nguzo za umeme,anamacho makubwa kama ngumi ya mwizi,ana wake 50 na watoto 200 familia yake inakula gunia 20 kwa siku.mtu huyo anapenda kutembelea poli lenye wanyama wakali na sehem za mochwali.
 

Forum statistics

Threads 1,203,831
Members 456,955
Posts 28,131,433