Anatafutwa mtu wa kazi za ofisi ya stationary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa mtu wa kazi za ofisi ya stationary

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by culman, Aug 23, 2012.

 1. c

  culman Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ALPHA STATIONARY iliyopo maeneo ya TABATA-DAR ES SALAAM, inatafuata mfanyakazi wa ofisi ya stationary.
  aliyetayari atume CVs yake ikionyesha muda na maeneo ya uzoefu wake wa kazi.

  Tuma CVs yako kwa e-mail "castory1979@yahoo.com", mwisho wa kupokea maombi ni 31/08/2012;
  usipopata majibu itamaanisha haujafanikiwa.

  Naomba anayeitaji azingatie maelekezo hapo juu na si vinginevyo.

  Wishing you all the best !!!
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Stationery ipo mkoa gani?
   
Loading...