Anatafutwa Mtaalam wa Joomla

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Anahitajika haraka sana mtu yeyote ambaye ni mtaalam wa Joomla CMS.

Kama wewe ni mtaalam na una nafasi ya kutosha kufanya kazi nasi, tutaelewana. Kinachohitajika ni taaluma yako ambayo itakuwezesha kutoa mchango wako kwa jamii yako ya Watanzania inayokuhitaji.

Muhimu: Uwezo, nafasi na taaluma ndio vigezo vitakavyokuwezesha kuipata nafasi hii adimu.

Nipigie: +255071-5019119.

./Mwana wa Haki
 
Nipigie: +255071-5019119.
Hii namba ya nchi gani? :D
Anyway, weka vizuri namba hiyo; nadhani ulimaanisha either 0715 501919 au +255 715 501919. Point yangu ni kwamba ukitanguliza country code, usiweke sifuri hiyo (baada ya +255) i.e +2550715501919 vinginevyo watu watakupigia lakini hawatakupata. Mimi nimeelewa, lakini huenda ikawasumbua baadhi na ukawakosa unaowa-invite.
 
Anahitajika haraka sana mtu yeyote ambaye ni mtaalam wa Joomla CMS.

Kama wewe ni mtaalam na una nafasi ya kutosha kufanya kazi nasi, tutaelewana. Kinachohitajika ni taaluma yako ambayo itakuwezesha kutoa mchango wako kwa jamii yako ya Watanzania inayokuhitaji.

Muhimu: Uwezo, nafasi na taaluma ndio vigezo vitakavyokuwezesha kuipata nafasi hii adimu.

Nipigie: +255071-5019119.

./Mwana wa Haki

mkuu tafadhali ebu fafanua zaidi kwenye hiyo red ndo nini?wengine twaweza kuwa na information za mtu mwenye sifa na taaluma hiyo.
 
Hiyo ni platform ya kutengeneza websites. Joomla ni moja ya hizo platforms ambazo hujulikana kama Content Management System (CMS).
¬K
 
Nipo na ninakuja Bongo wiki ijayo kwa likizo fupi. Ninaweza kuchangia kama bado mnamhitaji mtaalam wa joomla.
 
Mimi naweza kufanya nanyi hiyo kazi ila je ni kazi ya aina gani hasa na ya mda gani??Maana pia mnajuwa maisha jinsi yalivyo lazima kuangaika huku na huku kuangalia kitu cha kuweka mdomoni...
 
Anahitajika haraka sana mtu yeyote ambaye ni mtaalam wa Joomla CMS.

Kama wewe ni mtaalam na una nafasi ya kutosha kufanya kazi nasi, tutaelewana. Kinachohitajika ni taaluma yako ambayo itakuwezesha kutoa mchango wako kwa jamii yako ya Watanzania inayokuhitaji.

Muhimu: Uwezo, nafasi na taaluma ndio vigezo vitakavyokuwezesha kuipata nafasi hii adimu.

Nipigie: +255071-5019119.

./Mwana wa Haki

USANIIIIIIII THE NO.DOESN`T EXIST:confused::confused::confused:
 
Back
Top Bottom