Anatafutwa mke

Wasomba

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
322
473
Umri wangu nini miaka 40.
Elimu:chuo.
Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40. Mwenye chini ya Umri huo asitume maombi. Sitaki kuwa na mwanamke

tegemezi.
Awe na kipato kisichopungua 3m kwa mwezi
Elimu form four na kuendelea.

Mkristu au awe tayari kubadili dini

Mwenye upendo.
Msikivu

Mimi najitegemea na nina maisha yangu binafsi. Naamini tukichanganya kipato chake na changu tutafika mbali.
 
Umri wangu nini miaka 40.
Elimu:chuo.
Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40
Awe na kipato kisichopungua 3.5 m kwa mwezi
Elimu form four na kuendelea.

Mkristo au awe tayari kubadili dini

Mwenye upendo.
Msikivu

First come first saved

Mimi najitegemea na nina maisha yangu binafsi. Naamini tukichanganya kipato chake na changu tutafika mbali.
Umesomea chuo cha madrasa au chuo cha taaluma gani?
 
Siku hizi kila ID iliyompya Thread yake ya kwanza "natafuta mke" na mwingine akasema "anahitaji demu"
..

Kupata Mke/Mchumba humu ndani ilikuwa ni Jamiiforums ya miaka ya 2006 hadi 2012 lakini sio hii ya leo.
 
mwanaume unaangalia kipato cha mwanamke ndo uoe? unajua wajibu wa mke kweli wewe? hata wajibu wako naona huutambui.ndo maana upo miaka 40 huna mke na nishakujua maana kuja jamaaa hapa jirani anammendea boss wangu mmoja kiasa ana hela hataki wanawake wengine eti sio level zake.sasa kwa taarifa yako huyu dada akutaki na pamoja ana hela kila siku unaishia kuchunwa tu na anaenda kupewa serengeti.mwanamme mzima unashindwa kuwajibika unatafuta mwanamke mwenye hela? ukimpata je akifukuzwa hyo kazi utamuacha sio?
 
Aliekwambia mwanamke anaeingiza mil3 kwa mwez anataka mume wa miaka 40 nani
 
mwanaume unaangalia kipato cha mwanamke ndo uoe? unajua wajibu wa mke kweli wewe? hata wajibu wako naona huutambui.ndo maana upo miaka 40 huna mke na nishakujua maana kuja jamaaa hapa jirani anammendea boss wangu mmoja kiasa ana hela hataki wanawake wengine eti sio level zake.sasa kwa taarifa yako huyu dada akutaki na pamoja ana hela kila siku unaishia kuchunwa tu na anaenda kupewa serengeti.mwanamme mzima unashindwa kuwajibika unatafuta mwanamke mwenye hela? ukimpata je akifukuzwa hyo kazi utamuacha sio?
Kabisa yaaan!
 
3M per Month...!?!..
Ina maana aje na salary slip ama Tax Return Docs?....:D:D:D...
C lazima aje na salary slip. Najua maneno yake yatakuwa ya kweli hivyo nitaamini. Kwanza pesa haijifichi.
 
mwanaume unaangalia kipato cha mwanamke ndo uoe? unajua wajibu wa mke kweli wewe? hata wajibu wako naona huutambui.ndo maana upo miaka 40 huna mke na nishakujua maana kuja jamaaa hapa jirani anammendea boss wangu mmoja kiasa ana hela hataki wanawake wengine eti sio level zake.sasa kwa taarifa yako huyu dada akutaki na pamoja ana hela kila siku unaishia kuchunwa tu na anaenda kupewa serengeti.mwanamme mzima unashindwa kuwajibika unatafuta mwanamke mwenye hela? ukimpata je akifukuzwa hyo kazi utamuacha sio?

Akifukuzwa sitamuacha. Why nimuache mke wangu? Ata awe mfanyabiaahara Poa tu. Hakuna Mtu ninayemmendea. Mm nilishasema nataka mwanamke mwenye pesa ili nilikwama na mm nipate msaada kwake na yeye akikwama nimuinue. Kama yuko chini ya kipato hicho ni muhimu nikijihakikishia kuwa ni mchapa Kazi naye mwenye mwelekeo mzuri.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom