Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka

Ata kama watu wanashida ila too much asee 40???kah lazima akufilisi
 
40k bora niendelee kupiga puli na kula ugali hapa nyumbani kwa baba..mimi bado mdogo sana..19yrs old,,,badobado..godoro la baba bado jipya
 
40,000 kwa mwezi sawa NA 1300 kwa siku muache dharau watoto wawenzenu.
Anaetaka aje Njombe kwa siku 6000 chakula atapata
 
Back
Top Bottom