Anatafutwa Dereva mzoefu wa Tax/Uber/Taxify

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,883
1,599
Wadau
Anatafutwa derive mzoefu wa Taxi ( pia Taxify,Uber nk)DaresSalaam ili nimkabidhi gari kwa ajili ya biashara ya Taxi, awe na sifa zifuatazo;
Awe na uzoefu wa kutosha katika kazi hiyo hapa DSM
Akiwa na abiria wake tayari wa zamani atapewa kipaumbele zaidi hasa kwa wale wa Taxi za kawaida
Akiwa mtu mzima ( 40+) na mwenye majukumu , atapewa kipaumbele zaidi
Awe mchapakazi
Mahesabu kwa wiki kati ya 150k , yanaongeleka
Kazi inahusisha kuchukua na kuwarudisha watoto shuleni
Masaaya kazi tutakubaliana ...yanaongeleka
Aina ya gari ni IST 1300cc

NB. Nimejaribu kuwapa vijana ambao hawana majukumu naona wameshindwa nidhamu na kufikia malengo
Mwisho wa maombi ni tarehe 25 Sept 2019
Anayeona anakidhi vigezo aje PM
 
Kama utakubali 120,000 kwa week karibu tufanye kazi. Hali ya biashara imekua ngumu mno kipindi hiki boss. Ndio maana gari nyingi zinapark.
 
Nisha ku pm
Wadau
Anatafutwa derive mzoefu wa Taxi ( pia Taxify,Uber nk)DaresSalaam ili nimkabidhi gari kwa ajili ya biashara ya Taxi, awe na sifa zifuatazo;
Awe na uzoefu wa kutosha katika kazi hiyo hapa DSM
Akiwa na abiria wake tayari wa zamani atapewa kipaumbele zaidi hasa kwa wale wa Taxi za kawaida
Akiwa mtu mzima ( 40+) na mwenye majukumu , atapewa kipaumbele zaidi
Awe mchapakazi
Mahesabu kwa wiki kati ya 150k , yanaongeleka
Kazi inahusisha kuchukua na kuwarudisha watoto shuleni
Masaaya kazi tutakubaliana ...yanaongeleka
Aina ya gari ni IST 1300cc

NB. Nimejaribu kuwapa vijana ambao hawana majukumu naona wameshindwa nidhamu na kufikia malengo
Mwisho wa maombi ni tarehe 25 Sept 2019
Anayeona anakidhi vigezo aje PM
 
Wadau
Anatafutwa derive mzoefu wa Taxi ( pia Taxify,Uber nk)DaresSalaam ili nimkabidhi gari kwa ajili ya biashara ya Taxi, awe na sifa zifuatazo;
Awe na uzoefu wa kutosha katika kazi hiyo hapa DSM
Akiwa na abiria wake tayari wa zamani atapewa kipaumbele zaidi hasa kwa wale wa Taxi za kawaida
Akiwa mtu mzima ( 40+) na mwenye majukumu , atapewa kipaumbele zaidi
Awe mchapakazi
Mahesabu kwa wiki kati ya 150k , yanaongeleka
Kazi inahusisha kuchukua na kuwarudisha watoto shuleni
Masaaya kazi tutakubaliana ...yanaongeleka
Aina ya gari ni IST 1300cc

NB. Nimejaribu kuwapa vijana ambao hawana majukumu naona wameshindwa nidhamu na kufikia malengo
Mwisho wa maombi ni tarehe 25 Sept 2019
Anayeona anakidhi vigezo aje PM
Kwan uber wanaruhusu gari zenye cc zaidi ya 1200
 
habari.ulishapata dereva?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom