Anatafuta shule ya kukodi iwe ya Msingi ama Sekondari DSM, Pwani au Morogoro

system hacker

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
426
705
Ni ndugu yangu. Anatafuta shule ya kukodi. Iwe Msingi ama Sekondari kwenye mkoa wa DSM, Pwani ama Morogoro.

Kwa yeyote anayeweza kusaidia kufanikisha hili anakaribishwa sana.

Mengine watazungumza wenyewe wakikutana.

Tumia hii email:

dodomadaressalaam@gmail.com

Tusaidiane ku push hili suala.

Asanteni.

.................

Updates:

Kuna mtu mwingine anahitaji shule. Hivyo now watu wapo wawili.

Kingine: Kabla hujataka mawasiliano ya 'simu' nielezee kwa kifupi kuhusu ishu nzima ya shule.

Wadau naona wapo resi zaidi kutaka mawasiliano ya simu hata hawajanipa details zozote za shule. Kama ku type inachosha record voice note nitumie PM ama email.

Muhimu: Mtafuta shule sio mimi namsaidia mtu kutafuta. Hivyo, nikiona details zako zina make sense nakupa namba yake moja kwa moja mmalizane hakuna haja ya mie kukupa yangu. Pia, imagine mtu nampa mawasiliano yako hata sina ABC kuhusu shule yenyewe...! atanionaje?
 
Imeshawah kodishwa kwa watu zaido ya watoto wanashindwa kuiendesha, na sasa hivi aliyeikodisha navyoona analekea kushindwa ina wanafunz hadi darasa la saba
Halafu, mbona jina la shule sioni kwa tz? Naomba full name
 
Back
Top Bottom