Anatafuta shule ya kufundisha

monjozee

Senior Member
Sep 19, 2016
115
500
Kuna mwl.wa bachelor degree anatafuta kazi ya kufundisha kwa shule za sekondari.

Anahitaji msaada wako, ikiwa unahitaji au unafahamu shule yenye uhitaji wa mwalimu.
Masomo anayofundisha ni HISTORY na ENGLISH.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom