Anatafuta mke wa kuoa

geesten66

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,520
1,424
Habari za majukumu ndugu.

Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke

Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.

Sifa za mwanamke

Elimu Darasa la saba mpaka form 4 asizidi Elimu zaidi ya hapo

Umri 25/28.

Dini Muislamu

Asiwe mwembamba sana wala kibonge sana.

Sifa za Mume.

Elimu ya Dini

Umri 25

Urefu wakawaida

Rangi ya ngozi maji ya kunde

Kazi mfanya biashara.

Kazaliwa Dar kakulia Dar

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa watu wenye elimu ya dini sijui huwaga wana udhaifu gani(dini zote si uslam tu), yaan huko kote kwa watoto wa mashekh amekoswa(hadi anakuomba umtaftie) tena hum ndipo unadhani atapata, aseee kama yamemshinda ya huko mtaani kwake anakoishi walahi huku atakuja kujamba bure, tena ktk mabint ambao wapo simple wakisikia habari za ndoa ni watoto wa kiislam yan kuanzia mahali, process za ndoa ni bei chee, mwambie kama vp aonane na viongozi wake wa kidini watamptia mke bora kabisa!!

Kwao wanataka aoe single Mather yeye hataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye kasoma chuo cha kiislamu ila baba yake muhindi mama yake muharabu
yeye mwenyewe mzaramo yani black ndiyo maana anajuwa kiarabu
Kiarabu ndio elimu yenyew ya dinisijui hawa waliozaliwa uarabuni ila hawajasoma elimu ya dini nao kwa kuongea kiarabu tu tiari washapata elimu ya dini...?!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom