mtoto wa mfugaj
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 136
- 29
<br />Huyo akija Tz atapata mke bila kukosa na anaweza hata vunja nyumba ya mtu na kuondoka na mke akimuacha mme analia na watoto. Dada zetu wa KiTz wamelogewa kwa ngozi nyeupe. Hata mzungu awe fukara kiasi gani wao wanaona wameuchinja tu.
Uko sawaa kabisa............................Huyo akija Tz atapata mke bila kukosa na anaweza hata vunja nyumba ya mtu na kuondoka na mke akimuacha mme analia na watoto. Dada zetu wa KiTz wamelogewa kwa ngozi nyeupe. Hata mzungu awe fukara kiasi gani wao wanaona wameuchinja tu.
just PM me nikupe details zakeniunganishie na mie natafuta mzungu wa kuringishia u turn
niunganishie na mie natafuta mzungu wa kuringishia u turn
huh................nkajua mnyama kumbe binadamu,yani utadhani kavaa tshrt nyeusi