Anatafuta kazi ya Afisa Masoko, Jijini Arusha

bigboss1

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
319
195
Ndugu zangu habari zenu,
Na ndugu yangu anadiploma in sales and marketing.
Anatafuta kazi.
Uzoefu wake ni miaka 3 mpaka mnne katika kazi hiyo ni mdada tu mchapakazi na pia ni mzoefu.
Naomba msaada wenu yeyote akisikia mahalii mni pm.
Asanteni
 
NJOO INBOX KWETU ANATAFUTWA MTU WA HII SEMA BOSI MWENYEWE ANATAKA MTU WA KAZI SI MREMBAJI I MEAN AWE MCHAPA KAZI
 
Dada yangu anayo diploma ya sales and marketing.
Anauzoefu katika sekta zifuatazo.
Customer care
Sales and marketing
Sales clerk.
Kwa mtu atakeyesikia tafadhali naomba uni inbox.
Kwa arusha tutashukuru sana.
 
Asubiri viwanda vitafunguliwa vingi tu hapo Ars si ndio ilikuwa ahadi ya wagombea 2015.
Keep waiting!
 
Mbona mabango ya sales and marketing kwenye nguzo za umeme ni mengi tu? Mwambie aende pale Sanawari darajani barabara kuu ya Moshi ataona wanatafutwa.
 
Hi everyone
Namdada wangu anatafuta kazi Arusha .
Anauzoefu wa miaka minne
Anadiploma in sales and marketing
Anaweza kufanya kazi zifuatazo.
customer care and sales and marketing.
Kwa yeyote anayejua hata vile viduka vya voda nijulisheni jamani .
Ila iwe arusha.
Asanteni na kazi njema.
 
Nina kampuni yangu ya PEST CONTROL AND FUMMIGATION hapa ARUSHA aje tupambane nitamlipa kutokana ufanisi wa kazi anipm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom