Anatafuta kazi, uzoefu Sales and Marketing

njanoj17

Member
Apr 7, 2014
25
2
Habari wanajamvi,

Kuna jamaa yangu anaelimu ya Utawala ila anauzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja kwenye Mauzo na Masoko, kwa sasa yuko tu nyumbani mkataba uliisha, hana uzoefu wowote kwenye Utawala.... naombeni ushauri awe anatuma maombi katika nyanja ipi???, naomba msaada juu ya hilo.

Nawasilisha....!!!
 
Mwaka wa 3 huu, nafanya commercial lkn nilimaliza PSPS udsm. Unajua kwa aina ya soko la ajira lilivo uzoefu unamatter zaidi kuliko kile ulichosoma shule. Waajiri wanataka zaidi kile unaweza kufanya ukaongeza value ktk kazi yake na sio jina zuri la kozi yako.
 
Mmh...TFF pale watakua wanahitaji senior, kwa uzoefu huo wa kuungaunga labda asubiri uteuzi wa MaDAS, DED au DC ambao experience sio kigezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom