Anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge Mpakani, Ubungo, Kimara ya mwanzo, Sinza, Kinondoni, Kawe, Makumbusho etc

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,288
3,320
Wadau huyu ndugu yangu amepata kazi hapo Mwenge sasa tatizo ni umbali kutoka anapokaa, anahitaji master(au ikipatikana chumba na sebule) maeneo ni Mwenge Mpakani, Ubungo, Kimara ya mwanzo, Sinza, Kinondoni, Kawe, Makumbusho etc kwa ufupi isiwe mbali na Mwenge, bajeti yake ni 80k hadi 100k na atalipia miezi mitatu kwanza ila kama itapatikana inayozidi laki basi mwenye nyumba apokee miezi miwili kwanza.

Sababu ya kuja huku ni kuwa madalali wanataka kodi ya mwezi mzima na kijana ndio ameanza kazi, ila atakayemtafutia hataondoka bure atapata posho.

Msaada tafadhali, matusi na kejeli si lazima,maswali yatajibiwa. ASANTENI
 
Ngoja nikuitie huyu mwamba wa hizi kazi.

Tunzo
Nimekuja mkuu asante kwa kunikumbuka, ila isue za vyumba kwa sasa naunganisha watu kwa msaada tu, Sasa hivi nina ofisi ya magari, mwendo wa ndinga tu, ila anichek nimuunganishe na Dalali pale mwenge, alafu nitakuambia mimi umlipe kiasi gani, kwasababu mimi sitahitaji hiyo commission, ukinihitaji Gari karibu Mwenge maeneo ya Lufungira near Calabash
 
Kule Mbezi beach/Makonde ulishahama? Si ndio ofisi ulisema ipo pale
 
Wadau huyu ndugu yangu amepata kazi hapo Mwenge sasa tatizo ni umbali kutoka anapokaa, anahitaji master(au ikipatikana chumba na sebule) maeneo ni Mwenge Mpakani, Ubungo, Kimara ya mwanzo, Sinza, Kinondoni, Kawe, Makumbusho etc kwa ufupi isiwe mbali na Mwenge, bajeti yake ni 80k hadi 100k na atalipia miezi mitatu kwanza ila kama itapatikana inayozidi laki basi mwenye nyumba apokee miezi miwili kwanza na nyingine itafuata baada ya siku 15(huyu ni mwajiriwa so ni uhakika).

Sababu ya kuja huku ni kuwa madalali wanataka kodi ya mwezi mzima na kijana ndio ameanza kazi, ila atakayemtafutia hataondoka bure atapata posho.

Msaada tafadhali, matusi na kejeli si lazima,maswali yatajibiwa. ASANTENI
Kijana wako anavuta bangi, mnywa pombe, kibaka, anashikishwa ukuta? Vyumba vipo ila wahusika watataka kujuwa tabia za huyo kijana wako kwanza.
 
Hapana bado, unaweza kusaidia ndugu?

Wengi wanataka miezi 6 na hela ya dalali juu. Yaani chumba cha 150k tu inabidi uwe na laki 9 na laki na nusu ya dalali. Hapo ni changamoto
Njoo kimara hapa 2km toka darajani, chumba na sebule plus toilet na jiko, luku ya kujitegemea kwa Tshs. 150,000/= kwa mwezi. Hakuna dalali
 
Back
Top Bottom