ANATAFUTA BABA YAKE MZAZI(ERASTO LUKAGURA)

Andy Da Inc

Senior Member
Mar 2, 2015
132
228
Nakuja kwenu wana wa JF,naomba msaada wenu,kuna kijana anaitwa KAIGI ERASTO LUKAGURA,anatafuta baba yake mzazi ambae amepoteana nae tangu akiwa mdogo,baba alihamishwa kikazi kutoka old shinyanga kwenda Dar es salaam kigamboni kikazi(alikuwa mwanajeshi),aliondoka toka mwaka 1984 kipindi ambacho kijana wake(anaemtafuta) ana mwaka mmoja,tunaomba kwa mwenye dondoo japo kwa jina tuwasiliane kupitia 0753459589,baba huyo ni muhaya.kijana muhusika ni huyo ktk picha
 
Attachments

  • WIN_20181109_16_48_32_Pro.jpg
    WIN_20181109_16_48_32_Pro.jpg
    34.3 KB · Views: 30
  • WIN_20181109_16_48_40_Pro.jpg
    WIN_20181109_16_48_40_Pro.jpg
    34.2 KB · Views: 28
  • WIN_20181109_16_48_45_Pro.jpg
    WIN_20181109_16_48_45_Pro.jpg
    34.8 KB · Views: 28
  • WIN_20181109_16_49_00_Pro.jpg
    WIN_20181109_16_49_00_Pro.jpg
    37 KB · Views: 32
Mbona mnahangaika sana na wakati particulars za muhusika zipo wazi. Chukua barua ya utambulisho kijijini kwako au mtaa, na kisha nenda kata hadi ustawi wa jamii watakupa barua nenda nayo hadi hadi makao makuu ya jeshi watawaambia kama huyo mtu yupo au ametanglia mbele za haki. Mbona issue simple sana.

Angekuwa ni nkulima au mtu ambaye hayupo kwenye systems za serikali ndo balaaa
 
Mbona mnahangaika sana na wakati particulars za muhusika zipo wazi. Chukua narua ya utambulisho kijijini kwako au mtaa, na kisha nenda kata hadi ustawi wa jamii watakupa barua nenda nayo hadi hadi makao makuu ya jeshi watawaambia kama huyo mtu yupo au ametanglia mbele za haki. Mbona issue simple sana.

Angekuwa ni nkulima au mtu ambaye hayupo kwenye systems za serikali ndo balaaa
Inasemekana alifukuzwa jeshini kwa sabab fulan fulan,mwanae amekua ndo maana anamtafuta baba ake
 
Nakuja kwenu wana wa JF,naomba msaada wenu,kuna kijana anaitwa KAIGI ERASTO LUKAGURA,anatafuta baba yake mzazi ambae amepoteana nae tangu akiwa mdogo,baba alihamishwa kikazi kutoka old shinyanga kwenda Dar es salaam kigamboni kikazi(alikuwa mwanajeshi),aliondoka toka mwaka 1984 kipindi ambacho kijana wake(anaemtafuta) ana mwaka mmoja,tunaomba kwa mwenye dondoo japo kwa jina tuwasiliane kupitia 0753459589,baba huyo ni muhaya.kijana muhusika ni huyo ktk picha
Huyo ni wewe, unamtafuta baba yako.

Poor you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom