mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 311
Habari waungwana.
Kwa kweli kuna msichana nilianzisha mahusiano naye akiwa darasa la 7 nami nilikua nimeshamaliza shule najishuhulisha na vijikazi kwa kweli nilikua na lengo la kumuowa huyu binti ila kikwazo ni kua alikua anasoma na kiumri ni mdogo sana.
Sikutaka kumuharibia maisha yake kwa kumtoa bikra kwani nilijua kua ndio hazina na thamani yake ila alipoona kua sitaki kufanya nae mapenzi na mida wote namuhimiza kusoma aliniona si wa thamani na kunizarau kila siku nyodo zikawa nyingi na matusi ya rejareja tusi la mwisho akanambia jongoo hapandi mtungi hili liliniuma zaid ya sana nikashindwa kulivumilia.
Nikaamua kumlipia twisheni ili nimpate atakavyo liliniuma lile tusi baada ya mm kumuonea imani asome akona si wa mana ni kajipanga kuvunja hazina kumvunja mdomo wake na zarau haikuniwia vigumu ilikua kma kumsukuma mlevi katika mlima wa kilimanjaro nilipofanikisha lengo nilipata safari ya kuenda home km miaka 2 niliporudi nilirudi na mke.
Nilijaribu kumtafuta ila pozi zilizidi kwa kua kulikua na kibwana anaishi nacho na anamalizia shida zake mi sikua na tabu kwani nilikua na mke sikumpa umuhi na kujua hawezi kuwa wangu tena.
Miaka zaidi ya 5 ilipita akaja kuniona siku hio wakiwa na bwana wake akamtambulisha kua mm ni classment wake naye akaniambia kuwa yule ni mchumba wake nikaoumia kidogo kwani mtoto alikua kapendeza nikachukua namba ya simu yake nikaanza kudowea upya alikubali ila alinambia kwangu anapas time na yule bwana ndio ataemuowa nanukuu " nakubali kwa kuwa ww ni wa mwanzo ila usifikirie kuniowa nafasi umeitupa"
Sikua na jinsi nikaamua kuroweka ngumu ili ile laini siku moja mtoto akanifuanulia sehemu nyeti kwa vile alikua ameshazoeya mchezo mi ikawa kazi yangu ni kuengeza maufuni na maujuzi ya kumkomoa ili ajue kile anachokimiss kwangu kwa kweli nilifanikiwa 100% mtoto akaniganda kama kupe jamaa yake akawa hana tena jipya hata akiomba kutoka naye hadi ruhusa nitowe mie akawa anapangiwa ratiba ya tendo miezi 2 mara 1 wakati mi nilikua natafutwa kwa wiki mara 2 mtoto akaamua kumpaka jamaaa yake matope kuona furaha iko kwangu hadi wakaachana.
Mashrti yakaanza kunikumba muache mkeo uniowe watoto wako nitawalea kwa kweli sikua mzito na nilitaka nimuowe awe mke wa 2 ila si kumuacha mke wamgu kwani hana kosa
Tatizo ni kua juzi nilimuaga naondika naenda pemba na familia yangu nitakaa huko miezi 4 ndio nitarudi tena unguja ambapo sote tunaishi hapo basi kaamua kunywa mafuta ya taaa ili afe nilipomuuliza anasema eti yy simpendi nampenda mke wangu na anamuonea choyo kua nami kipindi hicho huku yeye hapati chochote
Jamani huu kweli ni uzima?