Anasafiri kwa baiskeli kutokea Tunduma kuja kusikiliza kesi ya Freeman Mbowe Dar es salaam!

Huyu ni mlozi wa kiwango cha SGR,hata Kuku akikatiza maeneo yake uhai wake unakuwa shakani.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Wakati Wa Mzilankende Alikuwa Anasifu Na Kuabudu
Sasa Hivi Naona Anakuwa Kama Ng'ombe Anatoa Ulimi Mdomoni Anauchomeka Puani


Ujue Kuwa Huyo Jamaa Ni Wale Waliokatika Mkia Machungani
 
Jamani watu wana maneno, duuh😂😂
Screenshot_20220410-082144_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom