Anapoelekea kustaafu Uenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe anaacha legacy gani?

Mbowe alishatangaza kustaafu nafasi ya Mwenyekiti ifikapo 2023 na alitamani sana nafasi yake irithiwe na Mwanamke toka Bawacha

Tangazo hilo alilitoa katika mkutanio wa Bawacha pale Mlimani City enzi za Halima Mdee

Unadhani Mbowe anaacha legacy gani katika utumishi wake kama Kiongozi mkuu wa Upinzani nchini?

Mungu ni mwema wakati wote
Akisha staafu afu gharama za kesi yake atazilipa nani? Pia don't forget jamaa anakidai chama chake mabilioni ya shilingi ambazo alikiuzia chama hicho magari chakavu. Mbowe is there to stay forever.
 
Attachments

  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    5.4 KB · Views: 20
Anavyopenda kwenda kula ugali ikulu unasema astaafu? Na pia ni dalali mzuri wa kisiasa, watu wanawajua madalali wa nyumba tu, alipiga udalali Lowasa awe mgombea wa CDM akavuta bilioni kumi
 
Mbowe alishatangaza kustaafu nafasi ya Mwenyekiti ifikapo 2023 na alitamani sana nafasi yake irithiwe na Mwanamke toka Bawacha

Tangazo hilo alilitoa katika mkutanio wa Bawacha pale Mlimani City enzi za Halima Mdee

Unadhani Mbowe anaacha legacy gani katika utumishi wake kama Kiongozi mkuu wa Upinzani nchini?

Mungu ni mwema wakati wote
Legacy atakayoiacha ni pamoja aliwahikupewa kesi ya ugaidi mchongo ila aligomaunga juhudi hatimaye wabambikiaji wakaumbuka.2.Katiba mpya 3.Chadema iliyoimara na madhubuti
4.Ataiacha time huru ya uchaguzi ndani ya katiba mpya🏃🏃
 
Miwani Makengeza bin Mmbowe hawezi kuachia kiti bila kushauriwa na mchepuko Joyce Mukya walieshibana!!Joyce ni ubavu wake na hawezi kumtupa kwa msaada wake mkubwa wa kuita Ambulance saa 8 usiku iwafuate guest kumbeba Makengeza alipoanguka kwa ulevi na kupasuka kule Dodoma!

Chadema ni family business Makengeza aondoke bizness yake ya kuiba ruzuku amwachie nani ? hivi hadi leo ndugu yangu hujui mchagga yukoje?

kwani nini kilimtokea Zana za Kilimo (ZZK ) alipoutaka uenyekiti?

Nasikia Makengeza anasema akifikisha miaka 90 kama Mugabe ambae ni role model wake ndo ataachia kiti na wa kumpokea lazima awe alishakaa jela kwa siku 200+ kama yeye na asimtupe Joyce kipenzi chake!!

Inaonekana wengi tunataka Makengeza atoke kwenye kiti ila hana pa kwenda maana Bilicanas pia haipo!

We have other important matters for national development to discuss tusipoteze muda na msaliti Makengeza, kwanza hasemi kule Ikulu kadiscuss nini na Bimkubwa!

Zidumu fikra za Makengeza!!
 
Mbowe alishatangaza kustaafu nafasi ya Mwenyekiti ifikapo 2023 na alitamani sana nafasi yake irithiwe na Mwanamke toka Bawacha

Tangazo hilo alilitoa katika mkutanio wa Bawacha pale Mlimani City enzi za Halima Mdee

Unadhani Mbowe anaacha legacy gani katika utumishi wake kama Kiongozi mkuu wa Upinzani nchini?

Mungu ni mwema wakati wote
Nyie MÀTAGA ,
MBOWE hawezi kusitaafu kwa Sasa Hadi wanachama tuamue,maana hanunuliki Kama wale wapinzani njaa.
 
Back
Top Bottom